قال الله تعالي: {وَإِنَّ عَلَيْكُمْ لَحَافِظِينَ ﮂ كِرَامًا كَاتِبِينَ ﮅ يَعْلَمُونَ مَا تَفْعَلُونَ ﮉ} [الانفطار:12:10]
{{Na hakika juu yenu kuna wenye kuwatunza. Watukufu wenye kuandika. Wanayajua yote mnayoyatenda}}.
Na Neno lake Mwenyezi Mungu (Subhaanahu wa Taala):
وقوله: {إِذْ يَتَلَقَّى الْمُتَلَقِّيَانِ عَنِ الْيَمِينِ وَعَنِ الشِّمَالِ قَعِيدٌ ﭩ مَا يَلْفِظُ مِنْ قَوْلٍ إِلَّا لَدَيْهِ رَقِيبٌ عَتِيدٌ ﭲ} [ق:18:17].
{{Wanapopokea
wapokeaji wawili, anayekaa kuliani na anayekaa kushotoni. Hutoi kauli
yoyote isipokuwa karibu naye yuko mngojeaji tayari (kuandika)}}.
Amepokea Abu Huraira kuwa Mtume
(Swalla Llahu ‘alayhi wasallam) amesema: [Kuwa Malaika wanapokezana
usiku na mchana wakikutana katika swala ya alfajiri na al-asri, kisha
wanakwenda wale walio kuwa ni wa usiku. Na mola akiwauliza naye akijua;
mumewaacha vipi waja wangu? Wakijibu; tumewaacha wakiswali na tukawajia
hali ya kuwa wanaswali].
Wito wa Kuwajibika kwa Maneno Mazuri
Kuwajibika kwa maneno mazuri ni sababu ya kufaulu na kusamehewa madhambi na kupata radhi zake Mola kwa ajili hiyo anasema Mola:
قال الله: {يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آَمَنُوا اتَّقُوا اللَّهَ وَقُولُوا قَوْلًا سَدِيدًا ﮭ يُصْلِحْ لَكُمْ أَعْمَالَكُمْ وَيَغْفِرْ لَكُمْ ذُنُوبَكُمْ وَمَنْ يُطِعِ اللَّهَ وَرَسُولَهُ فَقَدْ فَازَ فَوْزًا عَظِيمًاﯞ} [الأحزاب:71:70].
{{
Enyi mlioamini, Muogopeni Mwenyezi Mungu na semeni maneno ya haki.
atakutengenezeni vizuri vitendo vyenu na atakusemeheni madhambi yenu; Na
anayemtii Mwenyezi Mungu na Mtume wake, bila shaka amefanikiwa
mafanikio makubwa}}.
Mwisho
Ndugu
Waislamu, Ulimi ni kiungo muhimu katika mwili wa mawnadamu. Na kikiwa
kizuri basi mwili wote huwa mzuri. Ni jukumu la kila Mislamu kuulinda
ulimi wake kwa kutumia katika kuzungumza mambo ya kheri, kuamrisha mema
na kukataza mabaya. Tukifanya hivyo, tutakuwa tumefaidika na neema ya
ulimi, na kupata radhi za Allah (Subhaanahu wa Taala). Namuomba Mwenyezi
Mungu asituhisabu kwa yale tuliyoyazungumza ikiwa ni ya makosa, na
kutupa ujira kwa maneno mazuri tuliyoyazungumza.
No comments:
Post a Comment
10 Ways of Protection from Shaytan:
Imam Ibn ul Qayyim
Seeking refuge with Allah from Shaytan. Allah the Most High said, “And if there comes to you from Satan an evil suggestion, then seek refuge in Allah. Indeed, He is the Hearing, the Knowing.” [41:36]
Recitation of the two soorahs al-Falaq and an-Nas, as they have wondrous effect in seeking refuge with Allah from evil, weakening Shaytan and protection from him. This is why the Messenger, sallallahu `alayhi wa sallam, said: “No person seeks refuge with anything like the Mu`awwidhatayn (soorahs al-Falaq and an-Nas)”. [an-Nasaa’i, 5337]
Recitation of Ayat al-Kursi (2:255).
Recitation of soorah al-Baqarah. The Messenger, sallallahu `alayhi wa sallam, said, “The house in which al-Baqarah is recited is not approached by Shaytan.” [Muslim]
The final part of al-Baqarah. The Messenger, sallallahu `alayhi wa sallam, said, “Whoever recites the two last verses of al-Baqarah at night they will suffice him.” [Muslim]
Recitation of the beginning of soorah Mu’min (Ghafir), until His saying, “wa ilayhi-l-maseer” (to Him is the destination). (i.e. “Ha. Meem. The revelation of the Book is from Allah, the Exalted in Might, the Knowing, the forgiver of sin, acceptor of repentance, severe in punishment, owner of abundance. There is no deity except Him; to Him is the destination.” [40:1-2])
Saying “la ilaha ill Allah wahdahu la sharika lah, lahul mulku wa lahul hamdu wa huwa `ala kulli shay’in qadir” (there is nothing worthy of worship except Allah, He has no partner, His is the Dominion and Praise, and He is able to do all things) a hundred times.
The most beneficial form of protection from Shaytan: abundance of remembrance of Allah, the Exalted.