Followers

Sunday, October 13, 2013

Mufti wa Zamani wa Misri akiwaambia wanajeshi wa Misri kuwa "nimefurahi kuona misikiti mlioichoma na kisha mkaikojolea na Damu yao ilikuwa ikitapakaa!"

Mufti wa Zamani wa Misri akiwaambia wanajeshi wa Misri kuwa "nimefurahi kuona misikiti mlioichoma na kisha mkaikojolea na Damu yao ilikuwa ikitapakaa!"

Mufti wa zamani nchini Misri Dr Ali Gam'a alikuwa akiwahutubia maofisa wa serikali ya kijeshi wa nchi hiyo,baada ya kukodishwa na kupewa pesa na A/fatah Al Sisi,kila nchi yupo shekhe aliyepotoka,Ali Gam'a amefurahishwa na mauaji ya wananchi wa kislaam waliouliwa na wanajeshi wa nchi hiyo!. na amemzushia Allah na Mtume wetu Rehma na Amani ziwe juu yake na pia Mawalii wa Allah waumini,na amesema Dr. Ali Gam'a Shekhe aliyepotoka kuwa

(“لقد تواترت الرؤى بتأييدكم من قبل رسول الله صلى الله عليه وسلم ومن قبل أولياء الله عندما رأيت صور مسجد الفتح بالأمس فالزبالة والنجاسة والرعب الذي كانوا فيه وكأن الله أنزلها في أولئك. هناك مسجد حرًقه رسول الله لماذا لأنه لا يريد هذه اللواعة ولا هذا المكر ولا هذا الإثم في الظاهر والفساد في الباطن، ولذلك سمي الخوارج بكلاب النار مع صلاتهم وصيامهم وقرآنهم”.)

"Hakika ile ndoto imekuwa kweli,Mtume Swala lahu aleyhi wasalam amewaunga mkono na Mawalii wa Allah ambao tuko nao!,nilipoiona hali katika msikiti wa Fat-hi siku ya jana,mikojo iliokuwa imejaa na uhogo waliokuwa nao,utadhani zile aya alizoteremsha Allah katika ile msikiti aliyoichoma Mtume Swala lahu aleyhi wasalam,na mtume aliichoma msikiti huo hakuwa anataka khiyana,na vitimbi,dhambi na ufisadi uliokuwa wazi,hivyo ndivyo walivyopewa jina la Kikhawaarij Mbwa wa Motoni,huko wakiwa na Swala,Funga,na pia usomaji wa Qur'an sana!"

Anaowaambia Makhawarij ni wale Maikhwanul Muslimina waliodanganywa na Mfumo wa Demokrasia! anawaambia wanajeshi kuwa "Radhi za Allah ziwe juu yenu! anwaambia Mapenzi ya Uislaam na Uzuri wake ni kuwaua Maikhwaanul Muslimin!.

Anawaambia wanajeshi kuwa Allah na Mtume wake yu nanyi,na anawahimiza wanajeshi hao wa Misri kuendeleza mauaji ya Waislaam wa Ikhwaanul Muslimina,zihifadhini vitabu vya Kifiqi,Imam aliyenyaga'nywa hana twa'a,kwahiyo mkisikia Imam na Mohamed Mursi wapigeni vichwa!.

La'anatulllahi Aleyka Dr Ali Gam'a,amewazushia Allah na Mtume wake,kwajili ya kuwaridhisha Madhalimu wanaovuja mikono yao damu za waislaam wa Misri,wale Mashekhe waliopotoka wanauchezea Dini na wale waliotupwa na kudanganywa na Demokrasia hali zao zimekuwa tunavyowaona,waliobakia ni Waislaam waliouchukua na kuutumia mfumo wa Sheria za Allah,na Hao ndio watakao faulu Inshallah.

Kwa hakika hatujawahi kumwona Shekhe aliye na mdomo mchafu kama huyo na kuwazushia wazi wazi Allah Mtume wake Swala lahu aleyhi wasalam,wapi Mtume alimwunga mkono Murtad A/fatah Sisi!?na lini ilikuwa ndoto Dini!?,Dini ya Allah inanunuliwa kwa dhamani iliyo ndogo kabisa!.

No comments:

Post a Comment

10 Ways of Protection from Shaytan:

Imam Ibn ul Qayyim

Seeking refuge with Allah from Shaytan. Allah the Most High said, “And if there comes to you from Satan an evil suggestion, then seek refuge in Allah. Indeed, He is the Hearing, the Knowing.” [41:36]

Recitation of the two soorahs al-Falaq and an-Nas, as they have wondrous effect in seeking refuge with Allah from evil, weakening Shaytan and protection from him. This is why the Messenger, sallallahu `alayhi wa sallam, said: “No person seeks refuge with anything like the Mu`awwidhatayn (soorahs al-Falaq and an-Nas)”. [an-Nasaa’i, 5337]

Recitation of Ayat al-Kursi (2:255).

Recitation of soorah al-Baqarah. The Messenger, sallallahu `alayhi wa sallam, said, “The house in which al-Baqarah is recited is not approached by Shaytan.” [Muslim]

The final part of al-Baqarah. The Messenger, sallallahu `alayhi wa sallam, said, “Whoever recites the two last verses of al-Baqarah at night they will suffice him.” [Muslim]

Recitation of the beginning of soorah Mu’min (Ghafir), until His saying, “wa ilayhi-l-maseer” (to Him is the destination). (i.e. “Ha. Meem. The revelation of the Book is from Allah, the Exalted in Might, the Knowing, the forgiver of sin, acceptor of repentance, severe in punishment, owner of abundance. There is no deity except Him; to Him is the destination.” [40:1-2])

Saying “la ilaha ill Allah wahdahu la sharika lah, lahul mulku wa lahul hamdu wa huwa `ala kulli shay’in qadir” (there is nothing worthy of worship except Allah, He has no partner, His is the Dominion and Praise, and He is able to do all things) a hundred times.

The most beneficial form of protection from Shaytan: abundance of remembrance of Allah, the Exalted.

احمد محب الدين الأخبار جديد/احب الله ورسوله

حبّ الرسول صلّى الله عليه وسلّم

قال عليه والصلاة والسلام <<من أحبّ سنّتي فقد أحبّني ومن أحبني كان معي في الجنة>>وقال تعالى<<قل إن كنتم تحبّون الله فاتبعوني يحبب كم الله و يغفر ذنوبكم>>

Popular Posts