Followers

Thursday, July 25, 2013

WANAFIK

  إِنَّ الْمُنَافِقِينَ يُخَادِعُونَ اللَّهَ وَهُوَ خَادِعُهُمْ وَإِذَا قَامُوا إِلَى الصَّلَاةِ قَامُوا كُسَالَىٰ يُرَاءُونَ النَّاسَ وَلَا يَذْكُرُونَ اللَّهَ إِلَّا قَلِيلًا
( 143 )   مُّذَبْذَبِينَ بَيْنَ ذَٰلِكَ لَا إِلَىٰ هَٰؤُلَاءِ وَلَا إِلَىٰ هَٰؤُلَاءِ ۚ وَمَن يُضْلِلِ اللَّهُ فَلَن تَجِدَ لَهُ سَبِيلًا
( 144 )   يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا لَا تَتَّخِذُوا الْكَافِرِينَ أَوْلِيَاءَ مِن دُونِ الْمُؤْمِنِينَ ۚ أَتُرِيدُونَ أَن تَجْعَلُوا لِلَّهِ عَلَيْكُمْ سُلْطَانًا مُّبِينًا
( 145 )   إِنَّ الْمُنَافِقِينَ فِي الدَّرْكِ الْأَسْفَلِ مِنَ النَّارِ وَلَن تَجِدَ لَهُمْ نَصِيرًا
( 146 )   إِلَّا الَّذِينَ تَابُوا وَأَصْلَحُوا وَاعْتَصَمُوا بِاللَّهِ وَأَخْلَصُوا دِينَهُمْ لِلَّهِ فَأُولَٰئِكَ مَعَ الْمُؤْمِنِينَ ۖ وَسَوْفَ يُؤْتِ اللَّهُ الْمُؤْمِنِينَ أَجْرًا عَظِيمًا
( 147 )   مَّا يَفْعَلُ اللَّهُ بِعَذَابِكُمْ إِن شَكَرْتُمْ وَآمَنتُمْ ۚ وَكَانَ اللَّهُ شَاكِرًا عَلِيمًا

Indeed, the hypocrites [think to] deceive Allah, but He is deceiving them. And when they stand for prayer, they stand lazily, showing [themselves to] the people and not remembering Allah except a little,
( 143 )   Wavering between them, [belonging] neither to the believers nor to the disbelievers. And whoever Allah leaves astray - never will you find for him a way.
( 144 )   O you who have believed, do not take the disbelievers as allies instead of the believers. Do you wish to give Allah against yourselves a clear case?
( 145 )   Indeed, the hypocrites will be in the lowest depths of the Fire - and never will you find for them a helper -
( 146 )   Except for those who repent, correct themselves, hold fast to Allah, and are sincere in their religion for Allah, for those will be with the believers. And Allah is going to give the believers a great reward.
( 147 )   What would Allah do with your punishment if you are grateful and believe? And ever is Allah Appreciative and Knowing.

KIPANDE CHA AYA KUTOKA SURATU NNISAAI

إِنَّ الَّذِينَ آمَنُوا ثُمَّ كَفَرُوا ثُمَّ آمَنُوا ثُمَّ كَفَرُوا ثُمَّ ازْدَادُوا كُفْرًا لَّمْ يَكُنِ اللَّهُ لِيَغْفِرَ لَهُمْ وَلَا لِيَهْدِيَهُمْ سَبِيلًا
( 138 )   بَشِّرِ الْمُنَافِقِينَ بِأَنَّ لَهُمْ عَذَابًا أَلِيمًا
( 139 )   الَّذِينَ يَتَّخِذُونَ الْكَافِرِينَ أَوْلِيَاءَ مِن دُونِ الْمُؤْمِنِينَ ۚ أَيَبْتَغُونَ عِندَهُمُ الْعِزَّةَ فَإِنَّ الْعِزَّةَ لِلَّهِ جَمِيعًا
( 140 )   وَقَدْ نَزَّلَ عَلَيْكُمْ فِي الْكِتَابِ أَنْ إِذَا سَمِعْتُمْ آيَاتِ اللَّهِ يُكْفَرُ بِهَا وَيُسْتَهْزَأُ بِهَا فَلَا تَقْعُدُوا مَعَهُمْ حَتَّىٰ يَخُوضُوا فِي حَدِيثٍ غَيْرِهِ ۚ إِنَّكُمْ إِذًا مِّثْلُهُمْ ۗ إِنَّ اللَّهَ جَامِعُ الْمُنَافِقِينَ وَالْكَافِرِينَ فِي جَهَنَّمَ جَمِيعًا
 
TAFSIRI YAKE
   Indeed, those who have believed then disbelieved, then believed, then disbelieved, and then increased in disbelief - never will Allah forgive them, nor will He guide them to a way.
( 138 )   Give tidings to the hypocrites that there is for them a painful punishment -
( 139 )   Those who take disbelievers as allies instead of the believers. Do they seek with them honor [through power]? But indeed, honor belongs to Allah entirely.
( 140 )   And it has already come down to you in the Book that when you hear the verses of Allah [recited], they are denied [by them] and ridiculed; so do not sit with them until they enter into another conversation. Indeed, you would then be like them. Indeed Allah will gather the hypocrites and disbelievers in Hell all together -
 

SURATU ZILZALA

  إِذَا زُلْزِلَتِ الْأَرْضُ زِلْزَالَهَا
( 2 )   وَأَخْرَجَتِ الْأَرْضُ أَثْقَالَهَا
( 3 )   وَقَالَ الْإِنسَانُ مَا لَهَا
( 4 )   يَوْمَئِذٍ تُحَدِّثُ أَخْبَارَهَا
( 5 )   بِأَنَّ رَبَّكَ أَوْحَىٰ لَهَا
( 6 )   يَوْمَئِذٍ يَصْدُرُ النَّاسُ أَشْتَاتًا لِّيُرَوْا أَعْمَالَهُمْ
( 7 )   فَمَن يَعْمَلْ مِثْقَالَ ذَرَّةٍ خَيْرًا يَرَهُ
( 8 )   وَمَن يَعْمَلْ مِثْقَالَ ذَرَّةٍ شَرًّا يَرَهُ
1 )   إذا رُجَّت الأرض رجًّا شديدًا، وأخرجت ما في بطنها من موتى وكنوز، وتساءل الإنسان فزعًا: ما الذي حدث لها؟
( 2 )   إذا رُجَّت الأرض رجًّا شديدًا، وأخرجت ما في بطنها من موتى وكنوز، وتساءل الإنسان فزعًا: ما الذي حدث لها؟
( 3 )   إذا رُجَّت الأرض رجًّا شديدًا، وأخرجت ما في بطنها من موتى وكنوز، وتساءل الإنسان فزعًا: ما الذي حدث لها؟
( 4 )   يوم القيامة تخبر الأرض بما عُمل عليها من خير أو شر، وبأن الله سبحانه وتعالى أمرها بأن تخبر بما عُمل عليها.
( 5 )   يوم القيامة تخبر الأرض بما عُمل عليها من خير أو شر، وبأن الله سبحانه وتعالى أمرها بأن تخبر بما عُمل عليها.
( 6 )   يومئذ يرجع الناس عن موقف الحساب أصنافًا متفرقين؛ ليريهم الله ما عملوا من السيئات والحسنات، ويجازيهم عليها.
( 7 )   فمن يعمل وزن نملة صغيرة خيرًا، ير ثوابه في الآخرة، ومن يعمل وزن نملة صغيرة شرًا، ير عقابه في الآخرة.
( 8 )   فمن يعمل وزن نملة صغيرة خيرًا، ير ثوابه في الآخرة، ومن يعمل وزن نملة صغيرة شرًا، ير عقابه في الآخرة.

Kulia wakati wa kusoma Qur’an


  1. Kulia wakati wa kusoma Qur’an
Mola Anasema kulingana na maana ya Aya Akiwasifu waumini ya kuwa; wanaposomewa Qur’an wanapomoka kusujudu huku wanalia na hio  linawanazidisha kumcha Mwenyezi Mungu.  Maswahaba wengi walikua wakilia kwa sababu ya ucha Mungu na kumfuata Mtume (Swalla Llahu ‘alayhi wasallam).  Mmoja wao ni Ibnu Mas’uud aliyesema: ‘ Siku moja Mtume aliniambia nimsomee,  nikamjibu kwani Qur’an, inakuteremkia wewe iweje mimi nikusomee?. Mtume akasema: [Napenda nimsikie mtu akisoma. Nikasoma suratul Nisaa mpaka nikafika Aya fulani, nikaona macho ya Mtume yakitoka machozi].
Mmoja katika maswahaba amesema: ‘Nilimjia Mtume naye akiwa anaswali na ana kitambaa akijifutia nacho machozi. Na habari mashuhuri kwa Abu Bakr anaposoma Qur’an katika kuwasalisha alikua akilia.  ‘Umar ibnu Khattwab alipokuwa akisoma Aya, alisikia sauti za kilio na yeye akalia akadondokwa na machozi. Mke wa Mtume ‘Aisha amewahi kupita sehemu mbalimbali watu wasoma na ukali. ‘Abdullah Ibnu ‘Abbas alikuwa akisoma Qur’an na akirudia rudia na wasikilizaji wakilia.
Kilio wakati wa kusoma Qur’an ni dalili ya kumcha Mwenyezi Mungu ikiwa ni kilio cha kweli, kwani kilio kiko namna nyingi:- kilio cha rahma na sikitiko,  kilio cha kumuogopa Allah, kilio cha mapenzi na shangu, kilio cha furaha na kilio cha huzuni. Kilio kinachotakikana ni cha kumuogopa Mwenyezi Mungu na sio cha kinafiki na riya cha kujifanya unamuogopa Allah. Na kilio cha kumuogopa Mungu, yule msikilizaji naye huhisi kumuogopa Mwenyezi Mungu.  Mtume (Swalla Llahu ‘alayhi wasallam) amesema: [Hakika sauti nzuri ya Qur’an ni ukisikia wamuona mwenzio anamuogopa Mwenyezi Mungu].
Ama kujiliza na kujikamua kulia ni sampuli mbili:-
(1) Namna imesifiwa nzuri
(2) Namna imesifiwa vibaya.
(1) Kusifiwa vizuri, kama alivyojiliza ‘Umar alipomuona Mtume na Abubakar wanalia, alipowauliza sababu,  wakachelewa kumjibu, na ‘Umar akakianza chake. Watu wema waliotangulia wanasema: lieni kwa kumuogopa Mwenyezi Mungu au lizaneni.
(2) Ama kilio kinacholaumiwa ni mtu kujifanya mwema mbele ya watu kwa kulia hiki ni kilio cha unafiki. Kwa yote hayo ni Muumini alie anaposoma Qur’an, khabari zikitokana na mama ‘Aisha, amemsikia mmoja kati ya masahaba watukufu akisema yeye kama ni kulia basi ni moja katika aina tatu:-
(1) Akisoma Qur’an na akisikia inasomwa.
(2) Akisikia khutba ya Mtume.
(3) Akiona jeneza.
3   Kuizingatia Qur’aan
Ukisoma Qur’an na ukizingatia, ndio jambo muhimu zaidi ambalo linazaa matunda Mwenyezi Mungu (Subhaanahu wa Taala) Anasema:
قال الله تعالى: {كِتَابٌ أَنْزَلْنَاهُ إِلَيْكَ مُبَارَكٌ لِيَدَّبَّرُوا آَيَاتِهِ وَلِيَتَذَكَّرَ أُولُو الْأَلْبَابِ} [ص: 29]
{{Tumeteremsha kitabu kilicho barikiwa, basi kisomeni na mkizingatie enyi mulio na akili}}. Basi tukisome na tukifikirie na tukifahamu vilivyo. Na ikiwa hatuzingatii Mwenyezi Mungu Atatuuliza ilikuaje wasikizingatie ama nyoyo zao zimefungwa, nyuma ya Mtume (Swalla Llahu ‘alayhi wasallam) baada ya Fatiha akaanza Baqarah akarukuu baada ya kumaliza Aya mbili akaanza rakaa nyengine baada ya fatiha akasoma suratul Al-‘Imran na yote hayo, akipita tasbihi, anasabihi, na kadhalika mpaka tukamaliza swala na maswahaba wengi hivi ndivyo wakifahamu na kuizingatia, mmoja ni AbdulRaman anasema, wenzetu wakisoma Qur’aan kwa Mtume baadae wakaendea wenzao, basi wale wenzao wakichukuwa Aya kumi kumi wakienda nazo, baada ya kufahamu na kuzingatia wakija wakijiongezea nyingine
  1. Kusujudu kwa sababu ya kusoma Qur’an
Msomaji akipitia sehemu ya sijda, ni muhimu asujudu. Na wamekhitalifiana wanavyuoni kuhusu jambo hili, Abu Hanifa amesema ni wajibu kusujudu, ama kauli yenye nguvu ni kauli ya ‘Umar Ibnu Khatwab, kwamba kusujudu ni sunna na hivyo ndio kauli ya wanavyuoni wengi. Msomaji awe katika hali ya adabu, inafaa asome akiwa amekaa, amesimama, au akitembea na kadhalika. Kama Allah (Subhaanahu wa Taala) anavyosema:  
قال تعالى: {الَّذِينَ يَذْكُرُونَ اللَّهَ قِيَامًا وَقُعُودًا وَعَلَى جُنُوبِهِمْ وَيَتَفَكَّرُونَ فِي خَلْقِ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ } [آل عمران: 191].
{{ Waja wema wanamtaja Mwenyezi Mungu ikiwa wamesimama au wamekaa au wamelala}}. Lakini vizuri zaidi ni mtu akae kisawasasa kikao cha heshima, kama Mtume alivyokua akikaa na akielekea kibla, akisoma baada ya swalatul Fajri mpaka jua kuchomoza, na asikae sana, isipite siku tatu pasina kusoma Qur’an,
Kutahadharisha Kusahau Qur’an
Enyi waja wa Mwenyezi Mungu, watu wameshughulika na dunia wakasahau kusoma Qur’an, na watoto wameshughulika na masomo ya kilimwengu mpaka hawana wakati wa kutosha na walimu hawashughulikiwi ikapelekea wasifanye kazi yao vizuri. Yote hayo, yamefanya Qur’an kuwa  kitu kigeni, dhaifu na hata wasomao Dini wanapata shahada nzuri nzuri, hawasomi Qur’aan kisawasawa imepelekea kuipa mgongo Qur’an. Tumekua wajinga na hata  katika mambo ya kidini tunaongozwa na wajinga hii ndio hasara, hatuipi kipaombele Qur’an. Hali hii itafanya Qur’an itushitaki kesho akhera ikisema:  “ Ewe Mola hawa waja wako duniani walinitupa na wakanidharau, walikuwa hawanisomi, hawanifikirii na hawanizingatii, Wala hawanitumii katika maamrisho wala makatazo, bali wao wakishughulikia machezo, nyimbo na maneno ya upuzi.
Hatuna budi tupate Walimu Wazuri
Enyi waja wa Mwenyezi Mungu hatuna budi mpaka tupate walimu wazuri, wa kutusomeshea watoto, sio kila mtu au mtoto apate msahafu ajisomee mwenyewe mpaka Mwalimu amsikilize kwani maandishi peke yake hayatoshi, tupate utatuzi wa kuwaweka walimu wa kisawa na utatuzi wa matatizo ya wanafunzi, na mipangilio ya masomo yao, bali ziko madrasa nyingi kubwa kwa ndogo, vichochoroni na upenuni, kumbi na vyumba, vyote havina matokeo mazuri, tunachekwa na dini nyinginezo, walimu na wanafunzi na majengo, yapo katika hali ya kudharauliwa, sababu hatuna mwelekeo, lakini lau tungekuwa na wasimamizi wa mijini, mashambani tungepata matokeo mema.
Tuhifadhi Kitabu Kitukufu
Enyi waja wa Mwenyezi Mungu, Tujifundishe na tukihifadhi kitabu chake, tukisomeni kwa kumuogopa Allah. Mtume (Swalla Llahu ‘alayhi wasallam)  amesema:  [Mwenye kusoma herufi moja ana thawabu kumi, na utahesabiwa harufu moja moja]. Amesema ibnu-ll-Qayyim: ‘ Hebu zingatia, Allah ni mfalme wa wafalme, Atubembeleza tujipatie thawabu nyingi, Atutie moyo tupate thawabu hizo kwa urahisi, na ametunasihi saana, hii neema ya uhai isitupotee, vile vile ametuahidi raha kubwa kwa kumtii, na Ametuonya adhabu kali kwa kumuasi, na waja wema, inawapeleka kwenye wema ni kumtaja Allah kwa wingi kuwa ni Nuru, ni dawa, ni uongofu ni upambanuzi na ni hoja.
Mwisho
Mwenyezi Mungu alituumba kwa lengo la kiibada, kisha akatutumia Mtume akatufundisha vile atakavyo Yeye Mola, lakini Mungu huyo hatumuoni wala hatumsikii sauti, na tunaona dalili zake, alama zake na miujiza yake, kama mbingu na ardhi usiku na mchana na maneno yake matukufu. Mwenye kuyasoma atapata thawabu nyingi kwa kila herufi moja thawabu kumi na faida tofauti tofauti utazipata utakapoisoma Qur’an.
Nyoyo zetu na akili zetu zimejaa mashughuli ya kilimwengu hata hatuna nafasi ya kusoma Qur’an. Kwa hivyo ni kuangalia akhera yetu tupate taqwa, na tufuate utaratibu wa kuisoma. Tuisome tuijuwe maana huenda Qur-an ikarudi kwenye vifua vyetu na mienendo yetu.
Ewe Mwenyezi Mungu, Tujaalie waja wema,  tuisome Qur’an kama maswahaba, tuisome na kuifahamu, tuisome kwa nidhamu, adabu na kuiheshimu.

Kusoma Qur’an na Adabu zake


1.    Kueleza fadhila na ubora wa kujifundisha kusoma Qur’an
2.    Kutahadharisha watu wasishughulike sana na Dunia mpaka wakasahau Qur’an
3.    Kubainisha adabu za kusoma Qur’an.


Utangulizi
Ewe Muislamu ulipoumbwa na ukaletwa hapa Duniani uliwekewa katiba na mfumo wa kuishi na njia ya kupita mwanzo mpaka mwisho, nzuri na mbaya, yote hayo utayapata kwenye Qur’an ukifundishwa na Bwana Mtume (Swalla Llahu ‘alayhi wasallam).
Kusoma Qur’an na Adabu zake
Baada ya kumshukuru Mwenyezi Mungu na kumtakia rehema Bwana Mtume (Swalla Llahu ‘alayhi wasallam) na kutakia radhi Maswahaba na waliokuja baada hao mpaka qiyama.
Ama baadu: mazungumzo yetu ni kuhusu kitabu ambacho ndio msingi wa kufaulu kwenu, chenye kuwatoa kwenye kitua, ndani yake kuna khabari ya waliokuja kabla yenu na watakaokuja baada yenu na hakimu kati yenu,  chenye kupambanua baina ya haki na batili. Mwenye kukiacha ameumia, mwenye kutaka uongofu kwa hicho ataongoka, na mwenye kutaka kuongoza na  kitabu kingine amepotea; ni kamba ya Allah ya kuaminika isiyokatika; ni utajo wa Mwenyezi Mungu ni njia iloyonyoka, mwenye kuifuata hapotei na mwenye kuifuata hachanganyikiwi. Hawashibi nayo wanavyuoni na maajabu yake hayapungui. Atakaye ukweli ataupata humo na mwenye kuhukumu nacho atahukumu kwa usawa. Matakwa ya Allah ni tuisome Qur’an ili atuongoza na atuingize peponi.
Enyi waumini, Someni Qur’an na muwasomeshe watoto wenu au wenzenu, muwe mumebebwa na mazingira yake, frikra zenu na mawazo yawe katika mazingira ya Qur’an, muwahifadhisha watoto wenu kwa udogoni, kwani mkifanya hivyo, inaifanya igande vizuri zaidi ndani ya nyoyo zao, kwani kuhifadhi udogoni ni kama kutia naqshi kwenye jiwe.
Ewe waja wa Mwenyezi Mungu,  Muongopeni Mola na muwe na hamu na Kitabu hiki. Amesema Mwenyezi Mungu (Subhaanahu wa Taala):
قال الله  عز وجل: {إِنَّ الَّذِينَ يَتْلُونَ كِتَابَ اللَّهِ وَأَقَامُوا الصَّلَاةَ وَأَنْفَقُوا مِمَّا رَزَقْنَاهُمْ سِرًّا وَعَلَانِيَةً يَرْجُونَ تِجَارَةً لَنْ تَبُورَلِيُوَفِّيَهُمْ أُجُورَهُمْ وَيَزِيدَهُمْ مِنْ فَضْلِهِ إِنَّهُ غَفُورٌ شَكُورٌ} [فاطر: 30:29 ]
 {{Hakika wanaosoma hiki Kitabu cha Allah na wakasimamisha swala na wakatoa kwa mali yao tulizowapa kwa siri na dhahiri, wanatarajia biashara isiofilisika, na hakika Allah atawalipa awaongeze, kwani yeye mweyekusamehe saana na ni mwenye kushukuriwa}}. Na mke wa Mtume ‘Aisha akazidi kutufafanulia akisema: ‘Kusoma kwa Qur’an kunatafautiana, kuna anayesoma hodari. Hivyo, thawabu zake ni nyingi kiasi cha kutangamana na Malaika na  anayesoma akigongagonga  atapata malipo mara mbili. Vilevile Abi Umama akamwambia amemsikia Mtume akisema: [Someni Qur’an, itakufaa siku ya Qiyama kuwaombea shufaa. Haya yote ni fadhila za Qur’an na fadhila za kusoma Qur’an]. Na Mtume wetu (Swalla Llahu ‘alayhi wasallam) alimuusia Abu Said akimwambia : [Nakuusia umche Mwenyezi Mungu, kwani hilo ndio kichwa cha kila kitu, na utoke kwenda  Jihad kwani hilo ndio daraja kuu la Uislamu na umtaje Mwenyezi Mungu kwa wingi, na usome Qur’an ukifanya hivyo roho yako itakuwa mahali pazuri mbinguni na utakuwa na utajo upo ardhini].
Adabu za kusoma Qur’an
  1. Kusoma kwa ajili ya Allah (Subhaanahu wa Taala)
Waja watalipwa kulingana na nia zao. Mtume anatutolea khabari kuwa watu watalipwa vibaya japokuwa tunawaona wakifanya mema, nao ni sampuli tatu:-
a)    Mtu anajishughulisha na Qur’an kuisoma vizuri, kuikusanya n.k
b)    Mtu aliyeuliwa jihad fi sabilillahi.
c)    Mtu tajiri anaye toa sana.
Kumbe wote hawa watatu, wanafanya riya, Allah atamwambia msomaji Qur’an: Si nilikufundisha Qur’an? Atajibu: Ndio ewe Mola;  baadaye ulifanya nini? atajibu nilikua nikiisoma usiku na mchana, Mwenyezi Mungu atasema: ‘Umesema urongo, na Malaika watazidi kumkaripia ‘muongo we, na watasema Ewe Mola: huyu bwana, alikuwa akisoma kwa ajili ya watu, na tukaachia watu wamlipe kule kule duniani. Mungu atawaamrisha Malaika wamtie motoni (Mwenyezi Mungu atulinde na hayo)
  1. Kusoma hali akiwa na utwahara
Hapana shaka kuyasoma maneno ya Allah ukiwa msafi, ndio bora kama vile kupiga mswaki, kutawadha n.k. Kwa sababu Mtume (Swalla Llahu ‘alayhi wasallam) amesema: [Hakika midomo yenu, ndiyo njia za kusoma Qur’an, isafisheni kwa miswaki]. Mtume (Swalla Llahu ‘alayhi wasallam) akasema tena: [Ikiwa mja anaswali, Malaika humjia, na wakamsimamia nyuma yake wakimsikiliza Qur’an na wanaendelea hivyo mpaka anyamaze].  Na je ikiwa mja kinywa chake chanuka? Malaika watakaa kando. 
  1. Kusoma kisawasawa
Mola wetu anatuamrisha kuisoma Qur’an na Mtume wetu anatushinikiza hivyo, na maswahaba wakisoma Aya Aya, mmoja wao ni Anas bin Malik Anatuambia Mtume akiwafundisha hata kuvuta Bismillahi na kadhalika. ‘Abdallah bin Masuud amesema, “Kusoma haraka haraka ni mbaya bali ni usome pole pole, ipate kugonga ndani ya moyo, na usimame katika Aya za maajabu, igonge moyo”. Albara amesema: ‘Nimemsikia Mtume akisoma Wattini Wazzaytuni kwenye Swala ya Ishaa. Sijawahi kusikia sauti nzuri kama hiyo’. Mtume (Swalla Llahu ‘alayhi wasallam) amesema: [Tengenezeni sauti zenu mnaposoma Qur’an].  Na hizo hadithi ni swahihi. Ni vizuri asome kwa  sauti ya kuimbia ya kughani, imepokewa kutoka kwa Mtume (Swalla Llahu ‘alayhi wasallam) amesema: [Si katika sisi yule mtu atasoma Qur’aan na haghani].  Na kughani kwenyewe ni mume kwa sauti ya kiume na mke ajikaze, sio sauti kuwavutia wengine, na asome asimame kwenye mwisho wa kila Aya kama anavyotueleza mke wa Mtume Ummu Salama.
  1. K usoma kwa kwa sauti ya chini
Mtume (Swalla Llahu ‘alayhi wasallam) alitufundisha, tusisome kwa sauti ya juu, mpaka tukawaudhi wengine. Kwa mfano, wengine wanaswali na majirani wamelala, soma kwa kiasi. Mtume (Swalla Llahu ‘alayhi wasallam) anatuambia katika maana ya hadithi: “Nyote mtaitwa na mola wenu, msiudhiane wala msipandishiane sauti nyingi na kama mtu anasinzia aache kusoma alale, asije akasoma makosa makosa asijijue, na asiache sura zile fadhila zaidi kama suratul-Ikhlas, ambayo ni theluthi ya Qur’an. Na katika riwaya kadhaa Mtume amekuwa akisema: [Suratul-Ikhlas, ni theluthul ya Qur’an. na alikuwa akisoma Suratul Sajdah na Suratul Insaan katika Sala ya Alfajiri, na Tabaraka na Surat Al-Falaq na An-Nisa kabla ya kulala. Na vile vile akisoma Surat Al-Falaq na An-Nisa na Ayatul-Kursiyu baada ya kila swala].
  1. Kukatazwa kusoma Qur’an katika rukuu na Sijida
Mtume (Swalla Llahu ‘alayhi wasallam) mwenyewe ametukataza hilo kwenye hadithi swahihi akisema: [Enyi watu, hakukubakia kwenye bishara za mitume isipokua ndoto  za watu wema, nami nimekatazwa kusoma Qur’an kwenye rukuu na sijida.  Mtukuzeni Allah na mjitah idi kwa dua].  Na sababu yake ametaja Sheikhul-Islam, kukaa rukuu na sijida ni pahali pa kujidhalilisha Muislam kwa Mola wake.

Wednesday, July 17, 2013

يَطُوفُ عَلَيْهِمْ وِلْدَانٌ مُّخَلَّدُونَ

يَطُوفُ عَلَيْهِمْ وِلْدَانٌ مُّخَلَّدُونَ
( 18 )   بِأَكْوَابٍ وَأَبَارِيقَ وَكَأْسٍ مِّن مَّعِينٍ
( 19 )   لَّا يُصَدَّعُونَ عَنْهَا وَلَا يُنزِفُونَ
( 20 )   وَفَاكِهَةٍ مِّمَّا يَتَخَيَّرُونَ
( 21 )   وَلَحْمِ طَيْرٍ مِّمَّا يَشْتَهُونَ
( 22 )   وَحُورٌ عِينٌ
( 23 )   كَأَمْثَالِ اللُّؤْلُؤِ الْمَكْنُونِ
( 24 )   جَزَاءً بِمَا كَانُوا يَعْمَلُونَ
( 25 )   لَا يَسْمَعُونَ فِيهَا لَغْوًا وَلَا تَأْثِيمًا
( 26 )   إِلَّا قِيلًا سَلَامًا سَلَامًا
( 27 )   وَأَصْحَابُ الْيَمِينِ مَا أَصْحَابُ الْيَمِينِ
( 28 )   فِي سِدْرٍ مَّخْضُودٍ
( 29 )   وَطَلْحٍ مَّنضُودٍ
( 30 )   وَظِلٍّ مَّمْدُودٍ
( 31 )   وَمَاءٍ مَّسْكُوبٍ
  ( 32 )    وَفَاكِهَةٍ كَثِيرَةٍ
  يطوف عليهم لخدمتهم غلمان لا يهرمون ولا يموتون، بأقداح وأباريق وكأس من عين خمر جارية في الجنة، لا تُصَدَّعُ منها رؤوسهم، ولا تذهب بعقولهم.
( 18 )   يطوف عليهم لخدمتهم غلمان لا يهرمون ولا يموتون، بأقداح وأباريق وكأس من عين خمر جارية في الجنة، لا تُصَدَّعُ منها رؤوسهم، ولا تذهب بعقولهم.
( 19 )   يطوف عليهم لخدمتهم غلمان لا يهرمون ولا يموتون، بأقداح وأباريق وكأس من عين خمر جارية في الجنة، لا تُصَدَّعُ منها رؤوسهم، ولا تذهب بعقولهم.
( 20 )   ويطوف عليهم الغلمان بما يتخيرون من الفواكه، وبلحم طير ممَّا ترغب فيه نفوسهم. ولهم نساء ذوات عيون واسعة، كأمثال اللؤلؤ المصون في أصدافه صفاءً وجمالا؛ جزاء لهم بما كانوا يعملون من الصالحات في الدنيا.
( 21 )   ويطوف عليهم الغلمان بما يتخيرون من الفواكه، وبلحم طير ممَّا ترغب فيه نفوسهم. ولهم نساء ذوات عيون واسعة، كأمثال اللؤلؤ المصون في أصدافه صفاءً وجمالا؛ جزاء لهم بما كانوا يعملون من الصالحات في الدنيا.
( 22 )   ويطوف عليهم الغلمان بما يتخيرون من الفواكه، وبلحم طير ممَّا ترغب فيه نفوسهم. ولهم نساء ذوات عيون واسعة، كأمثال اللؤلؤ المصون في أصدافه صفاءً وجمالا؛ جزاء لهم بما كانوا يعملون من الصالحات في الدنيا.
( 23 )   ويطوف عليهم الغلمان بما يتخيرون من الفواكه، وبلحم طير ممَّا ترغب فيه نفوسهم. ولهم نساء ذوات عيون واسعة، كأمثال اللؤلؤ المصون في أصدافه صفاءً وجمالا؛ جزاء لهم بما كانوا يعملون من الصالحات في الدنيا.
  Wakitumikiwa na wavulana wa ujana wa milele,
( 18 )   Kwa vikombe na mabirika na bilauri za vinywaji kutoka chemchem safi.
( 19 )   Hawataumwa kichwa kwa vinywaji hivyo wala hawatoleweshwa.
( 20 )   Na matunda wayapendayo,
( 21 )   Na nyama za ndege kama wanavyo tamani.
( 22 )   Na Mahurulaini,
( 23 )   Walio kama mfano wa lulu zilio hifadhiwa.
( 24 )   Ni malipo kwa waliyo kuwa wakiyatenda.
( 25 )   Humo hawatasikia porojo wala maneno ya dhambi,
( 26 )   Isipo kuwa maneno ya Salama, Salama.
( 27 )   Na wale wa mkono wa kulia, ni yepi yatakuwa ya wa kuliani?
( 28 )   Katika mikunazi isiyo na miba,
( 29 )   Na migomba iliyo pangiliwa,
( 30 )   Na kivuli kilicho tanda,
( 31 )   Na maji yanayo miminika,
( 32 )   Na matunda mengi,
( 33 )   Hayatindikii wala hayakatazwi,
( 34 )   Na matandiko yaliyo nyanyuliwa.
( 35 )   Hakika Sisi tutawaumba (Mahurulaini) upya,
( 36 )   Na tutawafanya vijana,
( 37 )   Wanapendana na waume zao, hirimu moja.
( 38 )   Kwa ajili ya watu wa kuliani.
( 39 )   Fungu kubwa katika wa mwanzo,
( 40 )   Na fungu kubwa katika wa mwisho.
( 41 )   Na watu wa kushotoni; je ni yepi ya wa kushotoni?
( 42 )   Katika upepo wa moto, na maji yanayo chemka,
( 43 )   Na kivuli cha moshi mweusi,
( 44 )   Si cha kuburudisha wala kustarehesha.
( 45 )   Hakika hao walikuwa kabla ya haya wakiishi maisha ya anasa.
( 46 )   Na walikuwa wakishikilia kufanya madhambi makubwa,
( 47 )   Na walikuwa wakisema: Tutakapo kufa na tukawa udongo na mafupa, ati ndio tutafufuliwa?
( 48 )   Au baba zetu wa zamani?
( 49 )   Sema: Hakika wa zamani na wa mwisho
( 50 )   Bila ya shaka watakusanywa kwa wakati wa siku maalumu.
  There will circulate among them young boys made eternal
( 18 )   With vessels, pitchers and a cup [of wine] from a flowing spring -
( 19 )   No headache will they have therefrom, nor will they be intoxicated -
( 20 )   And fruit of what they select
( 21 )   And the meat of fowl, from whatever they desire.
( 22 )   And [for them are] fair women with large, [beautiful] eyes,
( 23 )   The likenesses of pearls well-protected,
( 24 )   As reward for what they used to do.
( 25 )   They will not hear therein ill speech or commission of sin -
( 26 )   Only a saying: "Peace, peace."
( 27 )   The companions of the right - what are the companions of the right?
( 28 )   [They will be] among lote trees with thorns removed
( 29 )   And [banana] trees layered [with fruit]
( 30 )   And shade extended
( 31 )   And water poured out
( 32 )   And fruit, abundant [and varied],
( 33 )   Neither limited [to season] nor forbidden,
( 34 )   And [upon] beds raised high.
( 35 )   Indeed, We have produced the women of Paradise in a [new] creation
( 36 )   And made them virgins,
( 37 )   Devoted [to their husbands] and of equal age,
( 38 )   For the companions of the right [who are]
( 39 )   A company of the former peoples
( 40 )   And a company of the later peoples.
( 41 )   And the companions of the left - what are the companions of the left?
( 42 )   [They will be] in scorching fire and scalding water
( 43 )   And a shade of black smoke,
( 44 )   Neither cool nor beneficial.
( 45 )   Indeed they were, before that, indulging in affluence,
( 46 )   And they used to persist in the great violation,
( 47 )   And they used to say, "When we die and become dust and bones, are we indeed to be resurrected?
( 48 )   And our forefathers [as well]?"
( 49 )   Say, [O Muhammad], "Indeed, the former and the later peoples
( 50 )   Are to be gathered together for the appointment of a known Day."

إِذَا وَقَعَتِ الْوَاقِعَةُ

إِذَا وَقَعَتِ الْوَاقِعَةُ
( 2 )   لَيْسَ لِوَقْعَتِهَا كَاذِبَةٌ
( 3 )   خَافِضَةٌ رَّافِعَةٌ
( 4 )   إِذَا رُجَّتِ الْأَرْضُ رَجًّا
( 5 )   وَبُسَّتِ الْجِبَالُ بَسًّا
( 6 )   فَكَانَتْ هَبَاءً مُّنبَثًّا
( 7 )   وَكُنتُمْ أَزْوَاجًا ثَلَاثَةً
( 8 )   فَأَصْحَابُ الْمَيْمَنَةِ مَا أَصْحَابُ الْمَيْمَنَةِ
( 9 )   وَأَصْحَابُ الْمَشْأَمَةِ مَا أَصْحَابُ الْمَشْأَمَةِ
( 10 )   وَالسَّابِقُونَ السَّابِقُونَ
( 11 )   أُولَٰئِكَ الْمُقَرَّبُونَ
( 12 )   فِي جَنَّاتِ النَّعِيمِ
( 13 )   ثُلَّةٌ مِّنَ الْأَوَّلِينَ
( 14 )   وَقَلِيلٌ مِّنَ الْآخِرِينَ
( 15 )   عَلَىٰ سُرُرٍ مَّوْضُونَةٍ
( 16 )   مُّتَّكِئِينَ عَلَيْهَا مُتَقَابِلِينَ
.إذا قامت القيامة، ليس لقيامها أحد يكذِّب به، هي خافضة لأعداء الله في النار، رافعة لأوليائه في الجنة
( 2 )   إذا قامت القيامة، ليس لقيامها أحد يكذِّب به، هي خافضة لأعداء الله في النار، رافعة لأوليائه في الجنة.
( 3 )   إذا قامت القيامة، ليس لقيامها أحد يكذِّب به، هي خافضة لأعداء الله في النار، رافعة لأوليائه في الجنة.
( 4 )   إذا حُرِّكت الأرض تحريكًا شديدًا، وفُتِّتت الجبال تفتيتًا دقيقًا، فصارت غبارًا متطايرًا في الجو قد ذَرَتْه الريح.
( 5 )   إذا حُرِّكت الأرض تحريكًا شديدًا، وفُتِّتت الجبال تفتيتًا دقيقًا، فصارت غبارًا متطايرًا في الجو قد ذَرَتْه الريح.
( 6 )   إذا حُرِّكت الأرض تحريكًا شديدًا، وفُتِّتت الجبال تفتيتًا دقيقًا، فصارت غبارًا متطايرًا في الجو قد ذَرَتْه الريح.
( 7 )   وكنتم- أيها الخلق- أصنافًا ثلاثة:
( 8 )   فأصحاب اليمين، أهل المنزلة العالية، ما أعظم مكانتهم!! وأصحاب الشمال، أهل المنزلة الدنيئة، ما أسوأ حالهم!!
( 9 )   فأصحاب اليمين، أهل المنزلة العالية، ما أعظم مكانتهم!! وأصحاب الشمال، أهل المنزلة الدنيئة، ما أسوأ حالهم!!
( 10 )   والسابقون إلى الخيرات في الدنيا هم السابقون إلى الدرجات في الآخرة، أولئك هم المقربون عند الله، يُدْخلهم ربهم في جنات النعيم.
( 11 )   والسابقون إلى الخيرات في الدنيا هم السابقون إلى الدرجات في الآخرة، أولئك هم المقربون عند الله، يُدْخلهم ربهم في جنات النعيم.
( 12 )   والسابقون إلى الخيرات في الدنيا هم السابقون إلى الدرجات في الآخرة، أولئك هم المقربون عند الله، يُدْخلهم ربهم في جنات النعيم.
( 13 )   يدخلها جماعة كثيرة من صدر هذه الأمة، وغيرهم من الأمم الأخرى، وقليل من آخر هذه الأمة على سرر منسوجة بالذهب، متكئين عليها يقابل بعضهم بعضًا.
( 14 )   يدخلها جماعة كثيرة من صدر هذه الأمة، وغيرهم من الأمم الأخرى، وقليل من آخر هذه الأمة على سرر منسوجة بالذهب، متكئين عليها يقابل بعضهم بعضًا.
( 15 )   يدخلها جماعة كثيرة من صدر هذه الأمة، وغيرهم من الأمم الأخرى، وقليل من آخر هذه الأمة على سرر منسوجة بالذهب، متكئين عليها يقابل بعضهم بعضًا.
( 16 )   يدخلها جماعة كثيرة من صدر هذه الأمة، وغيرهم من الأمم الأخرى، وقليل من آخر هذه الأمة على سرر منسوجة بالذهب، متكئين عليها يقابل بعضهم بعضًا.  Litakapo tukia hilo Tukio
( 2 )   Hapana cha kukanusha kutukia kwake.
( 3 )   Literemshalo linyanyualo,
( 4 )   Itakapo tikiswa ardhi kwa mtikiso,
( 5 )   Na milima itapo sagwasagwa,
( 6 )   Iwe mavumbi yanayo peperushwa,
( 7 )   Na nyinyi mtakuwa namna tatu:-
( 8 )   Basi watakuwepo wa kuliani; je, ni wepi wa kuliani?
( 9 )   Na wa kushotoni; je, ni wepi wa kushotoni?
( 10 )   Na wa mbele watakuwa mbele.
( 11 )   Hao ndio watakao karibishwa
( 12 )   Katika Bustani zenye neema.
( 13 )   Fungu kubwa katika wa mwanzo,
( 14 )   Na wachache katika wa mwisho.
( 15 )   Watakuwa juu ya viti vya fakhari vilivyo tonewa.
( 16 )   Wakiviegemea wakielekeana.

فَبِأَيِّ آلَاءِ رَبِّكُمَا تُكَذِّبَانِ

فَبِأَيِّ آلَاءِ رَبِّكُمَا تُكَذِّبَانِ
( 43 )   هَٰذِهِ جَهَنَّمُ الَّتِي يُكَذِّبُ بِهَا الْمُجْرِمُونَ
( 44 )   يَطُوفُونَ بَيْنَهَا وَبَيْنَ حَمِيمٍ آنٍ
( 45 )   فَبِأَيِّ آلَاءِ رَبِّكُمَا تُكَذِّبَانِ
( 46 )   وَلِمَنْ خَافَ مَقَامَ رَبِّهِ جَنَّتَانِ
( 47 )   فَبِأَيِّ آلَاءِ رَبِّكُمَا تُكَذِّبَانِ
( 48 )   ذَوَاتَا أَفْنَانٍ
( 49 )   فَبِأَيِّ آلَاءِ رَبِّكُمَا تُكَذِّبَانِ
( 50 )   فِيهِمَا عَيْنَانِ تَجْرِيَانِ
( 51 )   فَبِأَيِّ آلَاءِ رَبِّكُمَا تُكَذِّبَانِ
( 52 )   فِيهِمَا مِن كُلِّ فَاكِهَةٍ زَوْجَانِ
( 53 )   فَبِأَيِّ آلَاءِ رَبِّكُمَا تُكَذِّبَانِ
( 54 )   مُتَّكِئِينَ عَلَىٰ فُرُشٍ بَطَائِنُهَا مِنْ إِسْتَبْرَقٍ ۚ وَجَنَى الْجَنَّتَيْنِ دَانٍ
( 55 )   فَبِأَيِّ آلَاءِ رَبِّكُمَا تُكَذِّبَانِ
( 56 )   فِيهِنَّ قَاصِرَاتُ الطَّرْفِ لَمْ يَطْمِثْهُنَّ إِنسٌ قَبْلَهُمْ وَلَا جَانٌّ
( 57 )   So which of the favors of your Lord would you deny?
( 43 )   This is Hell, which the criminals deny.
( 44 )   They will go around between it and scalding water, heated [to the utmost degree].
( 45 )   So which of the favors of your Lord would you deny?
( 46 )   But for he who has feared the position of his Lord are two gardens -
( 47 )   So which of the favors of your Lord would you deny? -
( 48 )   Having [spreading] branches.
( 49 )   So which of the favors of your Lord would you deny?
( 50 )   In both of them are two springs, flowing.
( 51 )   So which of the favors of your Lord would you deny?
( 52 )   In both of them are of every fruit, two kinds.
( 53 )   So which of the favors of your Lord would you deny?
فَبِأَيِّ آلَاءِ رَبِّكُمَا تُكَذِّبَانِ

احمد محب الدين الأخبار جديد/احب الله ورسوله

حبّ الرسول صلّى الله عليه وسلّم

قال عليه والصلاة والسلام <<من أحبّ سنّتي فقد أحبّني ومن أحبني كان معي في الجنة>>وقال تعالى<<قل إن كنتم تحبّون الله فاتبعوني يحبب كم الله و يغفر ذنوبكم>>

Popular Posts