Followers

Sunday, April 28, 2013

Muhibu Diin +255717166644: Zijuwe sifa tano za waumini wa kweli/by AHMAD FAHA...

Muhibu Diin +255717166644: Zijuwe sifa tano za waumini wa kweli/by AHMAD FAHA...: بسم الله الرحمن الرحيم Zijue sifa tano za wa umini wa kweli kwa nujibu wa Qur'an  tukufu  إنما المؤمنون الذين إذا ذكر الله وجلت ق...

Wjibu wa kujihifadhi kuepukana na mazambi ya viungo ,hizi ni adabu ALLAH anatufundisha.//by :ahmad abdul hamid

BISMILLAHI RAHMANI RAHIM
AL HAMDULILLAHI RABBIL 3ALAMIN WASWALATU WASSALAM 3ALA RASULILLAHI(S.A.W) 
Ama baada ya kumshukuru ALLAH (s,w)na kumtakia ziada na rehma na amani mtume MUHAMMAD(S,A,W)
tunaendelea kukumbushana kuhusu uislamu wetu kama alivyo tu amrisha ALLAH tukumbushane,
katika quran kuna aya ambayo ndani yake tume fundishwa adabu mbali mbali kutoka kwa mwenyezi MUNGU ,ni suratu nnur aya ya 30 na 31<<Waambie waumini wakiume wainamishe macho chini(kwakuto kutizama maharamisho)na wazihifadhi tupu zao,jambo hiloo (yaani kuinamisha macho na kuzihifadhi tupu)ni lenye kuwatakasa ,hakika mwenyezi MUNGU anajua yote wayafanyayo,,na waambie waumini wa kike wa inamishe macho yao na wazihifadhi tupu zao,nawala wasi zihirishe mapambo yao isipokua yale yanayo onekana(uso na viganja vya mikono)na wajiteremshie shungi zao mpaka kwenye mabega yao,na wala wasiyadhihirishe mapambo yao isipokua kwa waume zao au watoto wa waume zao au wazazi wao au wakwe zao au watoto wao au kaka zao au watoto wa kaka zao au watoto wa dada zao au wanawake wenzao au wale ambao imewamiliki mikono yao yakulia(watumwa)au wale ambao wanafatana nao ambao hawajui wanake(hawajui tendo la ndoa)au watoto ambao hawa tambui sehemu ya siri ya mwanamke,na wala wasi pige miguu yao chini ili vitambulike vilivyo fichikana kwao(miongoni mwa mapambo)na  tubieni kwa ALLAH wote enyi waumini ili mpate kufaulu.>>
KATIKA  AYA HII ALLAH AMETUFUNDISHA MAMBO YAFATAYO:

  1. Kufunika kitovu kwa njia ya lazima kisheria,na kuzifunga njia za shari kwa njia ya wajib vilevile,ili isije ikawa mtihani,na ili nafsi zitakasike na ziwe safi nyoyo zetu.
  2. wajibu w kufunika macho kuto kutizama mambo yalio haramishwa na ALLAH ,na wajibu wa kuhifadhi tupu kutokana na kufanya uovu na kuto kuuzihirisha na kuto kuutizama bila sababu.
  3. kuyatiliwa mkazo mambo aliyo amrisha ALLAH kwetu kuya fanya,na aliyo tukatza tuyaache  bila ya kuwa na khiari,na tuwaozeshe akina dada pindi tu watakapo fikia umri wakuolewa ili kuepusha matatizo,
  4. uhalali wa kudhihrisha baadhi ya sehemu ya ma pambo ya wanawake ,pindi itakapo tokea dharura ya kufanya hivyo.
  5. uhalali wa kudhihirisha mapambo ya mwanamke mbele ya aina maalum ambao imewataja aya iliyo tangulia ,kwa sababu ya kukithiri kuchanganyika nao ili kuondosha baadhi ya matatizo inayo wakabili ,na kwaajili ya kupunguza fitna kati yao.
  6. wajibu wa kutubia waumini woote,na warejeye kwa MOLA wao kwaajili yakumtaka msamaha,na ili wapate malipo kwa kuwaongoza wao ALLAH ili wapate faida ya muongozo wake kwa kufaulu siku ya qiamah.TUMUOMBE ALLAH ATUONGOZE KATIKA HILO INSHA'ALLAH NA ATUJAALIE TUWE MIONGONI MWA WALE WASIKIAO MANENO YAKE KISHA WAKA YAFANYIA KAZI ,NA ATUJAALIE MWISHO MWEMA KATIKA MASIHA YETU YOOOTE.AAAMEN AAAMEN.WABILLAHI TAUFIQ WASSALAM ALAYKUMA WARAHMATULLAHI WABARAKATUH.HUU NDIO UZURI WA HIJJAB ANGALIA NAMNA GANI  WANVYO PENDEZA WAVAAO HIJJAB...MAAASHA'ALLAH ALLAH  AWAZIDISHIE KHERI

RT WANTANSHI à Lubumbashi - Lubumbashi

RT WANTANSHI à Lubumbashi - Lubumbashi

Saturday, April 27, 2013

Zijuwe sifa tano za waumini wa kweli/by AHMAD FAHAD KHAN

بسم الله الرحمن الرحيم
Zijue sifa tano za wa umini wa kweli kwa nujibu wa Qur'an  tukufu 
  1. إنما المؤمنون الذين إذا ذكر الله وجلت قلوبهم وإذا تليت عليهم آياته زادتهم إيمانا وعلى ربهم يتوكلون
  2. الذين يقيمون الصلوة ومما رزقناهم ينفقون
  3. أولَئك هم المؤمنون حقّا لهم درجات عند ربّهم ومغفرة ورزق كريم
Maana ya aya hii inasema kama ifatavyo :
  • Hakika waumini wa kweli ni wale ambao huwa wanapatwa na khafu pindi anapo tajwa Mwenyezi MUNGU ,na wanapo somewa aya zake hua zina wazidisha imani,na wao hua wanamtegemea ALLAH pekeake katika mambo yao yote.
  • Wale ambao wana simamisha swala tano(wana swali swala tano kwa wakati wake),na wanatoa sadaka katika vile alivyo waruzuku(katika mali aliyo waruzuku)ALLAH.
  • Basi hao ndio waumini wa kweli mbele ya ALLAH ,na wana wao daraja ya juu mbele ya MOLA wao  ,na msamaha na na rizqi tukufu(nzuri).
mafhumu ya aya hizo kwa ufupi:waumini wa kweli niwale ambao hupatwa na khofu pindi wanapo tajiwa ukubwa wa ALLAH(S.W)na uwezo wake nayale ambayo amewa khofisha nayo wale wafanyao mazambi basi wao huogopa.na nyoyo zao hufazaika nakhofu,  waka harakisha kufanya mema walio amrishwa na ALLAH na wakajiepusha na maovu yalio katazwa,nawanapo somewa quran huwa inawazidisha imani na tasdiq(ukweli)na utulivu katika nafsi zao,
na wao hua hawamtegemee mwengine asiekua zaidi ya ALLAH ,pamoja na kuchukua asbab za kisheria(yaani kufanya kazi N,K)basi hao wenye sifa kama hizi ndio waumini wa kweli na ndio wenye imani ya kweli mbele ya ALLAH na ndio wenye kuthibiti katika imani kamili.في هذه الآيت بين الله تعالى الصفات التي جعلها علامات على المؤمنين إيمانا حقا:
  1. الصفة الأولى:<<إنما المؤمنين الذين إذا ذكرالله وجلت قلوبهم>>أي إذا ذكرت عظمة الله تعالى وقدرته وما أعده من الثواب لمن أطاعه وما خوّف به من عصاه ,فزعت قلوبهم  وخافت وبادروا بفعل ما به أمر,واجتناب  ما عنه نهى.
  2. الصفة الثاني:<<وإذا تليت عليهم آياته زادتهم إيمانا >>فالقلب العامر بالإيمان يجد من آيات القرآن ما يزيده إيمانا وتصديقا ويقينا,وما ينتهي به إلى الا طمئنان كما قال تعالى:<<وإذاما أنزلت سورة فمنهم من يقول أيّكم زادته هذه إيمانا فأما الذين آمنوا فزادتهم إيمانا وهم يستبشرون>>
  3. الصفة الثالثة:<<وعلى ربهم يتوكلون>>وعليه وحده يعتمدون,وبه دون سواه يستمسكون ويعتصمون,لايرجون سواه,ولايقصدون إلا إياه,ولا يلوذون إلا بجناب,ولايطلبون الحوائج إلا منه,ولا يرغبون إلاّ إليه,ويعلمون أنه ماشاء كان وما لم يشأ لم يكن,وأنه متصرف في الملك وحده,لاشريك له ولا معقب لحكمه,وهو سريع الحساب.ومع رسوخ عقيدتهم لايقصرون في اتخاذ الأسباب المشروعة ولهاذا قال سعيد بن جبير:التوكل على الله جماع الإيمان.
  4. الصفة الربعة:<<الذين يقيمون الصلاة>>بعد ذكر سبحانه الصفات القلبية الوجدانية,ذكر صفاتهم العملية التي تتعلق بفعل الجوارح:ذالك:أن الإيمان هو ما وقر في القلب وصدقه الأعمال فالعمل هو الدلالة الظاهرة للإيمان.
  5.  <<ومما رزقناهم ينفقون>>ينفقون الزكاة المفروضة وغيرها من سائر وجوه  الإنفاق في سبيل الله,مما رزقهم الله,والنص الكريم بشير إلى أن هذه الأموال ودائع عند هم,والله هو الذي رزقهم بها,والخلق كلهم عيال الله,وأحبهم إلى الله أنفعهم لخلقه.
kwahio ndugu zangu katika imani tumuombe ALLAH atujaalie tuwe miongoni mwa watu wenye sifa za imani kama alivyo tu orodheshea ALLAH(S.W)na tuwe waumini wa kweli ambao watakao fanikiwa kupata radhi zake siku ya qiamah insha'allah.
hawi mtu muumini wa kweli mpaka zitakapo kusanyika kwake sifa hizi tano zilizo tajwa.
imani ni zina tafautiana daraja katika nyoyo za waumini na kwa sababu hiyo waumini wapo juu ya daraja tafauti peponi.
ni juyake muislamukuujaza imani moyo wake na ikhlasi katika amali zilizo wajibika kwake .na ayaache matendo yalio katazwa juu yao.ALLAH atuwezeshe wote insha'allah
wabillahi taufiq wassalam alaykum warahmatullahi wabarakatuh.

Umoja katika jamii ni muhimu sana kwa faida yetu na maendeleo yetu

بسم الله الرحمن الرحيم
السلام عليكم ورحمةالله وبركاته 
tunaendelea kukumbushana kuhusu dini yetu tukufu tena yenye kuwaimiza waumini kuwa na umoja na kushikamana katika dini  yao kama alivyo sema ALLAH (s.w)<<واعتصموا بحب الله جميعا ولا تفرّقوا>>kwa hio kabla ya kuendelea na mada nitazungumzia kisa kimoja ambacho ndani yake kuna somo linalo onesha umuhimu wa umoja katika jamii.(ورث ثلاثة إخوة عن أبيهم ثروة كبيرة,وتجارة ومصانع,فكان لاتقوى أحد على منافستهم ومزاحمتهم فيالأسوا,لغناهم وقوتهم باجتماعهم,ثم تحاسدوا,ودبّ بينهم الخلاف في الرأي,فقتسموا الأموال والأعمال,فصار كلّ منهم ضعيفا بنفسه,ووجد من يفوقه في الغنى,وينافسه في العمل,فضعف شأنهم,وقلّ ريحهم,ولو ظلّوا,متّحدين لم يقو أحد على مزاحمتهم.katika mifano hii kuna dalili nyingi zinazo tuonyesha umuhimu wa umoja katika jamii zetu ,lakini hatuto kua na umoja wa kweli ikiwa hatupendani wenyewe kwa wenyewe ,na tukiwa na umoja basi mambo yetu yata kua ni yenye mafanikio makubwa katika jamii zetu na yata patatikana hadi kwa vizazi vita kavyo kuja baada yetu,lakini tuki tengana basi tuta wapa  nafasi kubwa maadui zetu kutumaliza kwa wepesi mno ,ndo maana ALLAH ametuimiza tue na umoja katika dini ,hakuna kujifakharisha mmoja wetu yeyote mbele ya mwenzie eti kwa sababu ya cheo chake ,elimu yake,mali yake,uzuri wake,au umaarufu alio kua nao,N,K
Bali mbora wetu niyule amchae MOLA wetu subhaanahu wata'ala.kauli ni kwa mujibu wa qur'ani tukufu<<يأيّها الناس إنّا خلقناكم من ذكر و انثى وجعلناكم شعوبا وقبائل لتعارفوا,إن أكرمكم عندالله أتقاكم>>tumuombe ALLAH atujaalie tuwe na umoja wa kweli katika dini yetu na tupendane kwaajili yake.


Wednesday, April 3, 2013

السلام عليكم ورحمة الله وبركاته
الحمد لله الذي الّف بين قلوب المؤمنين وجعل بينهم المودّة الرحمة والصلات والسلام على أشرف الأنبياء والمرسلين (وبد) Ndugu zangu waislam na wausia pamoja na kuisia nafsi yangu kumuogopa ALLAH  ,
MADA YANGU NI KUWA HUSIA DADA ZANGU KATIKA STARA.
Pale alipo sema ALLAH  <<يأيّها النبي قل لأزواجك و 

احمد محب الدين الأخبار جديد/احب الله ورسوله

حبّ الرسول صلّى الله عليه وسلّم

قال عليه والصلاة والسلام <<من أحبّ سنّتي فقد أحبّني ومن أحبني كان معي في الجنة>>وقال تعالى<<قل إن كنتم تحبّون الله فاتبعوني يحبب كم الله و يغفر ذنوبكم>>

Popular Posts