بسم الله الرحمن الرحيم
السلام عليكم ورحمةالله وبركاته
tunaendelea kukumbushana kuhusu dini yetu tukufu tena yenye kuwaimiza waumini kuwa na umoja na kushikamana katika dini yao kama alivyo sema ALLAH (s.w)<<واعتصموا بحب الله جميعا ولا تفرّقوا>>kwa hio kabla ya kuendelea na mada nitazungumzia kisa kimoja ambacho ndani yake kuna somo linalo onesha umuhimu wa umoja katika jamii.(ورث ثلاثة إخوة عن أبيهم ثروة كبيرة,وتجارة ومصانع,فكان لاتقوى أحد على منافستهم ومزاحمتهم فيالأسوا,لغناهم وقوتهم باجتماعهم,ثم تحاسدوا,ودبّ بينهم الخلاف في الرأي,فقتسموا الأموال والأعمال,فصار كلّ منهم ضعيفا بنفسه,ووجد من يفوقه في الغنى,وينافسه في العمل,فضعف شأنهم,وقلّ ريحهم,ولو ظلّوا,متّحدين لم يقو أحد على مزاحمتهم.katika mifano hii kuna dalili nyingi zinazo tuonyesha umuhimu wa umoja katika jamii zetu ,lakini hatuto kua na umoja wa kweli ikiwa hatupendani wenyewe kwa wenyewe ,na tukiwa na umoja basi mambo yetu yata kua ni yenye mafanikio makubwa katika jamii zetu na yata patatikana hadi kwa vizazi vita kavyo kuja baada yetu,lakini tuki tengana basi tuta wapa nafasi kubwa maadui zetu kutumaliza kwa wepesi mno ,ndo maana ALLAH ametuimiza tue na umoja katika dini ,hakuna kujifakharisha mmoja wetu yeyote mbele ya mwenzie eti kwa sababu ya cheo chake ,elimu yake,mali yake,uzuri wake,au umaarufu alio kua nao,N,K
Bali mbora wetu niyule amchae MOLA wetu subhaanahu wata'ala.kauli ni kwa mujibu wa qur'ani tukufu<<يأيّها الناس إنّا خلقناكم من ذكر و انثى وجعلناكم شعوبا وقبائل لتعارفوا,إن أكرمكم عندالله أتقاكم>>tumuombe ALLAH atujaalie tuwe na umoja wa kweli katika dini yetu na tupendane kwaajili yake.
No comments:
Post a Comment
10 Ways of Protection from Shaytan:
Imam Ibn ul Qayyim
Seeking refuge with Allah from Shaytan. Allah the Most High said, “And if there comes to you from Satan an evil suggestion, then seek refuge in Allah. Indeed, He is the Hearing, the Knowing.” [41:36]
Recitation of the two soorahs al-Falaq and an-Nas, as they have wondrous effect in seeking refuge with Allah from evil, weakening Shaytan and protection from him. This is why the Messenger, sallallahu `alayhi wa sallam, said: “No person seeks refuge with anything like the Mu`awwidhatayn (soorahs al-Falaq and an-Nas)”. [an-Nasaa’i, 5337]
Recitation of Ayat al-Kursi (2:255).
Recitation of soorah al-Baqarah. The Messenger, sallallahu `alayhi wa sallam, said, “The house in which al-Baqarah is recited is not approached by Shaytan.” [Muslim]
The final part of al-Baqarah. The Messenger, sallallahu `alayhi wa sallam, said, “Whoever recites the two last verses of al-Baqarah at night they will suffice him.” [Muslim]
Recitation of the beginning of soorah Mu’min (Ghafir), until His saying, “wa ilayhi-l-maseer” (to Him is the destination). (i.e. “Ha. Meem. The revelation of the Book is from Allah, the Exalted in Might, the Knowing, the forgiver of sin, acceptor of repentance, severe in punishment, owner of abundance. There is no deity except Him; to Him is the destination.” [40:1-2])
Saying “la ilaha ill Allah wahdahu la sharika lah, lahul mulku wa lahul hamdu wa huwa `ala kulli shay’in qadir” (there is nothing worthy of worship except Allah, He has no partner, His is the Dominion and Praise, and He is able to do all things) a hundred times.
The most beneficial form of protection from Shaytan: abundance of remembrance of Allah, the Exalted.