Followers

Sunday, April 28, 2013

Wjibu wa kujihifadhi kuepukana na mazambi ya viungo ,hizi ni adabu ALLAH anatufundisha.//by :ahmad abdul hamid

BISMILLAHI RAHMANI RAHIM
AL HAMDULILLAHI RABBIL 3ALAMIN WASWALATU WASSALAM 3ALA RASULILLAHI(S.A.W) 
Ama baada ya kumshukuru ALLAH (s,w)na kumtakia ziada na rehma na amani mtume MUHAMMAD(S,A,W)
tunaendelea kukumbushana kuhusu uislamu wetu kama alivyo tu amrisha ALLAH tukumbushane,
katika quran kuna aya ambayo ndani yake tume fundishwa adabu mbali mbali kutoka kwa mwenyezi MUNGU ,ni suratu nnur aya ya 30 na 31<<Waambie waumini wakiume wainamishe macho chini(kwakuto kutizama maharamisho)na wazihifadhi tupu zao,jambo hiloo (yaani kuinamisha macho na kuzihifadhi tupu)ni lenye kuwatakasa ,hakika mwenyezi MUNGU anajua yote wayafanyayo,,na waambie waumini wa kike wa inamishe macho yao na wazihifadhi tupu zao,nawala wasi zihirishe mapambo yao isipokua yale yanayo onekana(uso na viganja vya mikono)na wajiteremshie shungi zao mpaka kwenye mabega yao,na wala wasiyadhihirishe mapambo yao isipokua kwa waume zao au watoto wa waume zao au wazazi wao au wakwe zao au watoto wao au kaka zao au watoto wa kaka zao au watoto wa dada zao au wanawake wenzao au wale ambao imewamiliki mikono yao yakulia(watumwa)au wale ambao wanafatana nao ambao hawajui wanake(hawajui tendo la ndoa)au watoto ambao hawa tambui sehemu ya siri ya mwanamke,na wala wasi pige miguu yao chini ili vitambulike vilivyo fichikana kwao(miongoni mwa mapambo)na  tubieni kwa ALLAH wote enyi waumini ili mpate kufaulu.>>
KATIKA  AYA HII ALLAH AMETUFUNDISHA MAMBO YAFATAYO:

  1. Kufunika kitovu kwa njia ya lazima kisheria,na kuzifunga njia za shari kwa njia ya wajib vilevile,ili isije ikawa mtihani,na ili nafsi zitakasike na ziwe safi nyoyo zetu.
  2. wajibu w kufunika macho kuto kutizama mambo yalio haramishwa na ALLAH ,na wajibu wa kuhifadhi tupu kutokana na kufanya uovu na kuto kuuzihirisha na kuto kuutizama bila sababu.
  3. kuyatiliwa mkazo mambo aliyo amrisha ALLAH kwetu kuya fanya,na aliyo tukatza tuyaache  bila ya kuwa na khiari,na tuwaozeshe akina dada pindi tu watakapo fikia umri wakuolewa ili kuepusha matatizo,
  4. uhalali wa kudhihrisha baadhi ya sehemu ya ma pambo ya wanawake ,pindi itakapo tokea dharura ya kufanya hivyo.
  5. uhalali wa kudhihirisha mapambo ya mwanamke mbele ya aina maalum ambao imewataja aya iliyo tangulia ,kwa sababu ya kukithiri kuchanganyika nao ili kuondosha baadhi ya matatizo inayo wakabili ,na kwaajili ya kupunguza fitna kati yao.
  6. wajibu wa kutubia waumini woote,na warejeye kwa MOLA wao kwaajili yakumtaka msamaha,na ili wapate malipo kwa kuwaongoza wao ALLAH ili wapate faida ya muongozo wake kwa kufaulu siku ya qiamah.TUMUOMBE ALLAH ATUONGOZE KATIKA HILO INSHA'ALLAH NA ATUJAALIE TUWE MIONGONI MWA WALE WASIKIAO MANENO YAKE KISHA WAKA YAFANYIA KAZI ,NA ATUJAALIE MWISHO MWEMA KATIKA MASIHA YETU YOOOTE.AAAMEN AAAMEN.WABILLAHI TAUFIQ WASSALAM ALAYKUMA WARAHMATULLAHI WABARAKATUH.HUU NDIO UZURI WA HIJJAB ANGALIA NAMNA GANI  WANVYO PENDEZA WAVAAO HIJJAB...MAAASHA'ALLAH ALLAH  AWAZIDISHIE KHERI

No comments:

Post a Comment

10 Ways of Protection from Shaytan:

Imam Ibn ul Qayyim

Seeking refuge with Allah from Shaytan. Allah the Most High said, “And if there comes to you from Satan an evil suggestion, then seek refuge in Allah. Indeed, He is the Hearing, the Knowing.” [41:36]

Recitation of the two soorahs al-Falaq and an-Nas, as they have wondrous effect in seeking refuge with Allah from evil, weakening Shaytan and protection from him. This is why the Messenger, sallallahu `alayhi wa sallam, said: “No person seeks refuge with anything like the Mu`awwidhatayn (soorahs al-Falaq and an-Nas)”. [an-Nasaa’i, 5337]

Recitation of Ayat al-Kursi (2:255).

Recitation of soorah al-Baqarah. The Messenger, sallallahu `alayhi wa sallam, said, “The house in which al-Baqarah is recited is not approached by Shaytan.” [Muslim]

The final part of al-Baqarah. The Messenger, sallallahu `alayhi wa sallam, said, “Whoever recites the two last verses of al-Baqarah at night they will suffice him.” [Muslim]

Recitation of the beginning of soorah Mu’min (Ghafir), until His saying, “wa ilayhi-l-maseer” (to Him is the destination). (i.e. “Ha. Meem. The revelation of the Book is from Allah, the Exalted in Might, the Knowing, the forgiver of sin, acceptor of repentance, severe in punishment, owner of abundance. There is no deity except Him; to Him is the destination.” [40:1-2])

Saying “la ilaha ill Allah wahdahu la sharika lah, lahul mulku wa lahul hamdu wa huwa `ala kulli shay’in qadir” (there is nothing worthy of worship except Allah, He has no partner, His is the Dominion and Praise, and He is able to do all things) a hundred times.

The most beneficial form of protection from Shaytan: abundance of remembrance of Allah, the Exalted.

احمد محب الدين الأخبار جديد/احب الله ورسوله

حبّ الرسول صلّى الله عليه وسلّم

قال عليه والصلاة والسلام <<من أحبّ سنّتي فقد أحبّني ومن أحبني كان معي في الجنة>>وقال تعالى<<قل إن كنتم تحبّون الله فاتبعوني يحبب كم الله و يغفر ذنوبكم>>

Popular Posts