SHEIKH PONDA ATINGA MORO...
Chanzo: Gazeti la Nipashe
------------------------------
Ponda aliwasili mahakamani hapa jana akiwa ndani ya basi la Magereza na kusomewa mashtaka matatu yanayomkabili, huku upande wa mashtaka ukisema utawasilisha vielelezo kadhaa, ukiwamo mkanda ulirekodiwa na mashahidi 15 kuthibitisha mashitaka dhidi yake. Kongola (Wakili wa Serikali) alidai kuwa Sheikh Ponda akizungumza katika kongamano hilo alitamka kuwa “Ndugu Waislamu msikubali uundwaji wa kamati za ulinzi na usalama za misikiti kwani kamati hizo zimeundwa na Bakwata (Baraza la Waislamu Tanzania) ambao ni vibaraka wa CCM na Serikali na kama watajitokeza kwenu watu hao na kujitambulisha kwamba wao ni kamati za ulinzi na usalama za misikiti, fungeni milango na madirisha ya misikiti yenu na muwapige sana.”
Kongola alidai kuwa Sheikh Ponda aliyatamka maneno hayo huku akijua kuwa kutoa maneno hayo ni kosa kisheria.
Alidai kuwa kwa kufanya hivyo alivunja masharti ya mahakama ya kifungo cha nje iliyotolewa na Hakimu Nongwa wa Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Mei 9, 2013 yaliyokuwa yakimtaka kuhubiri amani.
Katika shtaka la pili, Sheikh Ponda anadaiwa kuwashawishi Waislamu kutenda kosa la jinai kwa kuwaambia kuwa Serikali ilipeleka jeshi Mtwara kushughulikia vurugu ziliyotokana na gesi kwa kuwaua, kuwabaka na kuwatesa wananchi kwa sababu asilimia 90 ya wakazi wake ni Waislamu.
Wakili huyo wa Serikali alidai kuwa Ponda pia alisema kuwa Serikali haikufanya hivyo kwa wananchi wa Loliondo waliomkataa Mwarabu asipatiwe kipande cha ardhi ya uwindaji baada ya kudai ni mali yao kwa sababu asilimia 90 ya wakazi wake ni Wakristo.
Wakili Kongola alipinga ombi la mshtakiwa huyo kupatiwa dhamana baada ya kupata kibali kutoka Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kwa maslahi ya usalama wa nchi.

No comments:
Post a Comment
10 Ways of Protection from Shaytan:
Imam Ibn ul Qayyim
Seeking refuge with Allah from Shaytan. Allah the Most High said, “And if there comes to you from Satan an evil suggestion, then seek refuge in Allah. Indeed, He is the Hearing, the Knowing.” [41:36]
Recitation of the two soorahs al-Falaq and an-Nas, as they have wondrous effect in seeking refuge with Allah from evil, weakening Shaytan and protection from him. This is why the Messenger, sallallahu `alayhi wa sallam, said: “No person seeks refuge with anything like the Mu`awwidhatayn (soorahs al-Falaq and an-Nas)”. [an-Nasaa’i, 5337]
Recitation of Ayat al-Kursi (2:255).
Recitation of soorah al-Baqarah. The Messenger, sallallahu `alayhi wa sallam, said, “The house in which al-Baqarah is recited is not approached by Shaytan.” [Muslim]
The final part of al-Baqarah. The Messenger, sallallahu `alayhi wa sallam, said, “Whoever recites the two last verses of al-Baqarah at night they will suffice him.” [Muslim]
Recitation of the beginning of soorah Mu’min (Ghafir), until His saying, “wa ilayhi-l-maseer” (to Him is the destination). (i.e. “Ha. Meem. The revelation of the Book is from Allah, the Exalted in Might, the Knowing, the forgiver of sin, acceptor of repentance, severe in punishment, owner of abundance. There is no deity except Him; to Him is the destination.” [40:1-2])
Saying “la ilaha ill Allah wahdahu la sharika lah, lahul mulku wa lahul hamdu wa huwa `ala kulli shay’in qadir” (there is nothing worthy of worship except Allah, He has no partner, His is the Dominion and Praise, and He is able to do all things) a hundred times.
The most beneficial form of protection from Shaytan: abundance of remembrance of Allah, the Exalted.