بسم الله الرحمن الرحيم
الحمد لله الذي خلق الإنسان من نطفة وجعل له سبيلين إما شاكرا وإما كفورا وأشهد أن سيدنا وحبيبنا وشفيعنا نور المصطفى محمد لابن عبد الله صلاة وسلاما دائمين مت لازمين إلا يوم لاينفع فيه مال ولا بنون إلاّ من أتى الله بقلب سليم,وبعد فإن المرأ إذا لم يلبس ثيابا خيرا من التقى تقلب عريانا ولو كان كاسي,إخوت المسلمون اليوم إنشاء الله سوف أذكركم بعض الأشياء الذي حرمها الله عزّ وجلّ
, من سورة الأنعام<<قل تعالوا أتل ما حرّم ربكم عليكم,ألاّتشركوا به شيئا وبالوالدين إحسانا ولاتقتلوا أولادكم من إملاق,نحن نرزقكم وإياهم,ولاتقربوا الفواحش ما ظهر منها وما بطن,ولاتقتلوا النّفس التي حرّم الله إلاّ بالحقّ,ذالكم وصّاكم به لعلكم تعقلون,ولا تقربوا مال اليتيم إلاّ بالتي هي أحسن حتى يبلغ أشده,وأوفوا الكيل والميزان بالقسط,لانكلف نفسا إلاّ وسعها, وإذا قلتم فاعدلوا ولو كان ذا قربى,وبعهد اللّه أوفوا,ذالكم وصّاكم به لعلّلكم تذكّرون,وأنّ هذا صراطي مستقيما فاتّبعوه,ولاتتّبعوا السبل فتفرق بكم عن سبيله,ذالكم وصاكم به لعلكم تتّقون.>>صدق الله العظيم
Maana kwa ufupilizo
ndugu zangu waislamu baada ya kumshukuru allah (s.a)na kumtakia rehma na amani kipenzi cha umma mtume MUHAMMAD(S.A.W)na dhani kila mmoja wetu anatambua kwamba uislamu ume amrisha kila alie na akili kumkumbusha ndugu yake muislamu kuyaacha mabaya na kuyafata yale ambayo allah ametuamrisha kuyafanya,na katika hadithi ya mtume amesema ifatavyo من حديث ابي عبد الله النعمان ابن بشير<<إن الحلال بيّن وإن الحرام بيّن وبينهما امور مشتبهات لايعلمهن كثير من الناس فمن التقى الشبهات فقد استبرأ لدينه وعرضه ومن وقع في الشبهات وقع في الحرام كالراعى يرعى حول الحمى يوشك ان يرقع فيه.....الخ>>kwa hiyo kumbe halali ipo wazi na haramu ipo wazi vilevile lakini hatumbui ukweli wake ,kwa maana hiyo allah akaamua kutu bainishia halali na haramu kwa kutuonea huruma tusije ingia zambi makubwa pasi na kujua nini tunacho kifanya lakini sio kutukumbusha tu bali nakutu tahadharisha pia katika hilo,katika mambo ambayo allah ame yaharamisha ni haya:kwanza ameanza kwakutukemea tusimshirikishe na kitu chochote kisha akafatilizia hili kwa kutu amrisha kuwa tendea wema wa zazi wawili,pili tusi waue watoto wetu kwa kuogopea ufukara,tatu tusi yakaribie mambo maovu(mazambi)dhahiri yake na ndani yake,nnetusi ziuwe nafsi ambazo ameharamisha kuziuwa,,tano tusi karibie mali za mayatima kwa nia ya kuwadhulumu,sita tufanye usawa tunapo pima vipimo vyetu au tunapo wapimia watu,saba tunapo ongea au kutoa ushahidi tuwe waadilifu japo kwa ndugu zetu wakaribu,saba tutekeleze ahadi zake allah,na lamwisho tusi zifate njia za shaitwani,
MAANA KWA UJUMLA
Ndugu zangu waislam aya hii imezitilia nguvu zile nguzo za uislamu na baadhi ya fadhila ambazo nguzo zina simamia,na ina pangika kwa nguzo hizo mambo ya walimwengu na hali za mataifa mbalimbali,
- kuto kumfanyia MWENYEZI MUNGU washirika katika ibada,kama vile masanamu,na mfano wake
- kuwa tendea wema wazazi wawili ,kwa ku watii ,na kufanya yatakayo waridhisha kwa kuwatolea garama za matumizi yao yote,pindi watakapo kuwa watu wazima hawajiwezi tena yaani hawa wezi kufanya kazi yeyote ile,
- kuto ku wauwa watoto kwaajili ya kuogopa urofa,kama walivyo kua wakifanya waarabu kabla ya uislam,kwa sababu allah amedhamini utowaji wa rizki ya watoto kama anavyo wapa rizki wazazi wao.
- kujiepusha na mazambi makubwa,kama kuiba,kufanya khiana,na kusengenya,na kufanya umbeya,kwa sababu kueneza mambo maovu katika umma au jamii kunapelekea kubomoka jamii na kuishi.
- kuto kui uwa nafsi ambayo ALLAH ameharamisha kui uwa,pale ambapo haukuwa uo uuwaji ni kwa sababu ya mtu kutoka katika uislamu,au kwa sababu ya kisasi,na kadhalika.
- kuto kula mali za mayatima,na kuzihifadhi mpaka atakapo kua au atakapo fikia umri wa ujana huyo yatima,na kuzizalisha mali hizo katika biashara au kilimo au mfano wake.
- kutekeleza vipimo vya kilo na mizani kwa usawa pindi tunapo wauzia watu au tunapo nunua,na kuwafanyisha watu kazi kwa uadilifu,laiti kama atakosea mtu yeyote katika hilo kwa nia njema basi hakuna makosa juu yake.
- kutoa hukmu kwa uadilifu,na kutekeleza ushahidi kwanjia ya uadilifu,hatakama tutakua tuna watolea ushahidi ndugu zetu wakaribu,kwa sababu katika dhulma na kutolea ushahidi wa uongo kuna kupoteza haki na kuna kuufanyia khiana uaminifu.
Haya ndio mambo ambayo ALLAH ana tuusia ,na ametuamrisha kuyafata,ili tuongozeke katika muongozo wake,na wafikishwe katika kupatia,basi ni wajibu kwetu tuyafanyie kazi mambo hayo na tusi yafate matamanio ya nafsi zetu ikawa sababu ya kutu poteza katika njia ya ALLAH,tuzi hifadhi nafsi zetu kutokana na adhabu siku ya qiyamah
ذالك ما وصّانا الله به وأمرنا بالتّباعه لنهتدي إلى سبيل الرشاد ونوفّق إلى السّداد ,فواجب علينا أن نعمل به وألاّ نتبع الهوى فيضّلنا عن سبيل الله,لنحفظ أنفسنا من عذابه يوم القيامة.
- ألاّ نشرك بالله أحدا في العبادة.
- أن نحسن إلى والدينا.
- أأن نترك المعاصي في السرّ والعلن,كأكل مال اليت وبخس الكيل والميزان
وبالله التوفيق والسلام عليكم ورحمة لالله وبركاته AHMAD ABDUL HAMID MALISSAWA
OR FAHAD AHMAD KHAN/Email:Halfanallyahmad@yahoo.com
No comments:
Post a Comment
10 Ways of Protection from Shaytan:
Imam Ibn ul Qayyim
Seeking refuge with Allah from Shaytan. Allah the Most High said, “And if there comes to you from Satan an evil suggestion, then seek refuge in Allah. Indeed, He is the Hearing, the Knowing.” [41:36]
Recitation of the two soorahs al-Falaq and an-Nas, as they have wondrous effect in seeking refuge with Allah from evil, weakening Shaytan and protection from him. This is why the Messenger, sallallahu `alayhi wa sallam, said: “No person seeks refuge with anything like the Mu`awwidhatayn (soorahs al-Falaq and an-Nas)”. [an-Nasaa’i, 5337]
Recitation of Ayat al-Kursi (2:255).
Recitation of soorah al-Baqarah. The Messenger, sallallahu `alayhi wa sallam, said, “The house in which al-Baqarah is recited is not approached by Shaytan.” [Muslim]
The final part of al-Baqarah. The Messenger, sallallahu `alayhi wa sallam, said, “Whoever recites the two last verses of al-Baqarah at night they will suffice him.” [Muslim]
Recitation of the beginning of soorah Mu’min (Ghafir), until His saying, “wa ilayhi-l-maseer” (to Him is the destination). (i.e. “Ha. Meem. The revelation of the Book is from Allah, the Exalted in Might, the Knowing, the forgiver of sin, acceptor of repentance, severe in punishment, owner of abundance. There is no deity except Him; to Him is the destination.” [40:1-2])
Saying “la ilaha ill Allah wahdahu la sharika lah, lahul mulku wa lahul hamdu wa huwa `ala kulli shay’in qadir” (there is nothing worthy of worship except Allah, He has no partner, His is the Dominion and Praise, and He is able to do all things) a hundred times.
The most beneficial form of protection from Shaytan: abundance of remembrance of Allah, the Exalted.