Followers

Saturday, March 30, 2013

Tujiepushe na tabia mbaya kama hizi.

Bismillahi rahman rahim.
Miongoni mwa tabia ambazo inabidi allah ametu hadhari nazo ni 1-dhana mbaya zidi ya watu kwa jambo ambalo hua wanalichukia kama vile kumdhania mtu kua na sifa ya ubakhili pasinakua na ushahidi wowote au kumdhania kua ni mwizi au mzinzi n,k amesema allah ,2-na miongoni mwa tabia ambazo inabidi tujiepushe kwa sababu ni dalili za udhalili wa nafsi,na tabia mbaya,na mausiano na watu,nayo nako ni KUCHUNGUZA hali za watu,na kuzungumzia aibu zao wazifichazo,kama vile kuangalia nyuma ya pazia,au katika tundu za mlango kile wanacho kifanya majirani zako au wanacho kula na kama vile kuisoma barua special kwa mzazi wako au mtu mwingne,3-KUSENGENYA nako nikumtaja mtu asie kuwepo ktk lile ambalo analo lichukia hata kama utasema kweli,4-na tabia nyingine ndugu zangu ni UMBEA ili kueneza fitna kati ya watu na kueneza ugonvi,na kukata udugu,na hakika wanaokua na tabia hizi ni mashetani wa kibinadamu,na hakika allah amemkataza mtume pamoja nasi kwambakwahio hizo ni tabia ambazo waislamu lazma tujiepushe nazo sana ,na tumuige mtume wetu muhammad (s.a.w)huko ndo kufata suna zake ,kama alivyo sema mwenyewe<>kwa maana hio nilazima tumfate natusibaki katika kumsifia katika maulidi tu ,zindukeni ndugu zangu wapendwa tusi ipoteze tabia njema aliyo tuachia mtume (s.a.w)kwa ajili ya dunia.allah atuwezeshe ktk hilo.

No comments:

Post a Comment

10 Ways of Protection from Shaytan:

Imam Ibn ul Qayyim

Seeking refuge with Allah from Shaytan. Allah the Most High said, “And if there comes to you from Satan an evil suggestion, then seek refuge in Allah. Indeed, He is the Hearing, the Knowing.” [41:36]

Recitation of the two soorahs al-Falaq and an-Nas, as they have wondrous effect in seeking refuge with Allah from evil, weakening Shaytan and protection from him. This is why the Messenger, sallallahu `alayhi wa sallam, said: “No person seeks refuge with anything like the Mu`awwidhatayn (soorahs al-Falaq and an-Nas)”. [an-Nasaa’i, 5337]

Recitation of Ayat al-Kursi (2:255).

Recitation of soorah al-Baqarah. The Messenger, sallallahu `alayhi wa sallam, said, “The house in which al-Baqarah is recited is not approached by Shaytan.” [Muslim]

The final part of al-Baqarah. The Messenger, sallallahu `alayhi wa sallam, said, “Whoever recites the two last verses of al-Baqarah at night they will suffice him.” [Muslim]

Recitation of the beginning of soorah Mu’min (Ghafir), until His saying, “wa ilayhi-l-maseer” (to Him is the destination). (i.e. “Ha. Meem. The revelation of the Book is from Allah, the Exalted in Might, the Knowing, the forgiver of sin, acceptor of repentance, severe in punishment, owner of abundance. There is no deity except Him; to Him is the destination.” [40:1-2])

Saying “la ilaha ill Allah wahdahu la sharika lah, lahul mulku wa lahul hamdu wa huwa `ala kulli shay’in qadir” (there is nothing worthy of worship except Allah, He has no partner, His is the Dominion and Praise, and He is able to do all things) a hundred times.

The most beneficial form of protection from Shaytan: abundance of remembrance of Allah, the Exalted.

احمد محب الدين الأخبار جديد/احب الله ورسوله

حبّ الرسول صلّى الله عليه وسلّم

قال عليه والصلاة والسلام <<من أحبّ سنّتي فقد أحبّني ومن أحبني كان معي في الجنة>>وقال تعالى<<قل إن كنتم تحبّون الله فاتبعوني يحبب كم الله و يغفر ذنوبكم>>

Popular Posts