Hapa Tuna Kumbushana Kuhusu Uislam wetu,Tuna Habarishana Habari Mbali Mbali,Lakini Tukumbuke kwamba Uislam Hauto kwenda mbele kwa Maandamano au Kufanya Da3wa ya maneno tu,Bali Uislam utakwenda kwanjia alizo fundishwa Mtume(JIHAAD)Kuutangaza Uislam ni jukumu lakila muislam kwa hali na mali.كلكم راع وكلكم مسئول عن رعيّته/كنتم خير أمّة أخرجت للناس تئمرون بالمعروف وتنهون عن المنكر.
Followers
Sunday, March 31, 2013
Saturday, March 30, 2013
muhibu diin: الحديث الرسول الله عليه الصلات والسلام :الموضوع ال...
muhibu diin: الحديث الرسول الله عليه الصلات والسلام :الموضوع ال...: قال عليه الصلات و السلام <<إذا هم أحدكم بالأمر فليركع ركعتين من غير فريضة>>ثم ليقل :اللهم إني أسخيرك بعلمك وأستقدرك بقدرتك وأس...
Tujiepushe na tabia mbaya kama hizi.
Bismillahi rahman rahim.
Miongoni mwa tabia ambazo inabidi allah ametu hadhari nazo ni 1-dhana mbaya zidi ya watu kwa jambo ambalo hua wanalichukia kama vile kumdhania mtu kua na sifa ya ubakhili pasinakua na ushahidi wowote au kumdhania kua ni mwizi au mzinzi n,k amesema allah,2-na miongoni mwa tabia ambazo inabidi tujiepushe kwa sababu ni dalili za udhalili wa nafsi,na tabia mbaya,na mausiano na watu,nayo nako ni KUCHUNGUZA hali za watu,na kuzungumzia aibu zao wazifichazo,kama vile kuangalia nyuma ya pazia,au katika tundu za mlango kile wanacho kifanya majirani zako au wanacho kula na kama vile kuisoma barua special kwa mzazi wako au mtu mwingne,3-KUSENGENYA nako nikumtaja mtu asie kuwepo ktk lile ambalo analo lichukia hata kama utasema kweli,4-na tabia nyingine ndugu zangu ni UMBEA ili kueneza fitna kati ya watu na kueneza ugonvi,na kukata udugu,na hakika wanaokua na tabia hizi ni mashetani wa kibinadamu,na hakika allah amemkataza mtume pamoja nasi kwambakwahio hizo ni tabia ambazo waislamu lazma tujiepushe nazo sana ,na tumuige mtume wetu muhammad (s.a.w)huko ndo kufata suna zake ,kama alivyo sema mwenyewe<>kwa maana hio nilazima tumfate natusibaki katika kumsifia katika maulidi tu ,zindukeni ndugu zangu wapendwa tusi ipoteze tabia njema aliyo tuachia mtume (s.a.w)kwa ajili ya dunia.allah atuwezeshe ktk hilo.
Miongoni mwa tabia ambazo inabidi allah ametu hadhari nazo ni 1-dhana mbaya zidi ya watu kwa jambo ambalo hua wanalichukia kama vile kumdhania mtu kua na sifa ya ubakhili pasinakua na ushahidi wowote au kumdhania kua ni mwizi au mzinzi n,k amesema allah
Friday, March 29, 2013
الترك ما حرّم الله علينا والتباع ما أمرنا بهTuyaache yale aliyo ya haramishia na tuyadfanye yale aliyo tu amrisha kuya fanya
بسم الله الرحمن الرحيم
الحمد لله الذي خلق الإنسان من نطفة وجعل له سبيلين إما شاكرا وإما كفورا وأشهد أن سيدنا وحبيبنا وشفيعنا نور المصطفى محمد لابن عبد الله صلاة وسلاما دائمين مت لازمين إلا يوم لاينفع فيه مال ولا بنون إلاّ من أتى الله بقلب سليم,وبعد فإن المرأ إذا لم يلبس ثيابا خيرا من التقى تقلب عريانا ولو كان كاسي,إخوت المسلمون اليوم إنشاء الله سوف أذكركم بعض الأشياء الذي حرمها الله عزّ وجلّ
, من سورة الأنعام<<قل تعالوا أتل ما حرّم ربكم عليكم,ألاّتشركوا به شيئا وبالوالدين إحسانا ولاتقتلوا أولادكم من إملاق,نحن نرزقكم وإياهم,ولاتقربوا الفواحش ما ظهر منها وما بطن,ولاتقتلوا النّفس التي حرّم الله إلاّ بالحقّ,ذالكم وصّاكم به لعلكم تعقلون,ولا تقربوا مال اليتيم إلاّ بالتي هي أحسن حتى يبلغ أشده,وأوفوا الكيل والميزان بالقسط,لانكلف نفسا إلاّ وسعها, وإذا قلتم فاعدلوا ولو كان ذا قربى,وبعهد اللّه أوفوا,ذالكم وصّاكم به لعلّلكم تذكّرون,وأنّ هذا صراطي مستقيما فاتّبعوه,ولاتتّبعوا السبل فتفرق بكم عن سبيله,ذالكم وصاكم به لعلكم تتّقون.>>صدق الله العظيم
Maana kwa ufupilizo
ndugu zangu waislamu baada ya kumshukuru allah (s.a)na kumtakia rehma na amani kipenzi cha umma mtume MUHAMMAD(S.A.W)na dhani kila mmoja wetu anatambua kwamba uislamu ume amrisha kila alie na akili kumkumbusha ndugu yake muislamu kuyaacha mabaya na kuyafata yale ambayo allah ametuamrisha kuyafanya,na katika hadithi ya mtume amesema ifatavyo من حديث ابي عبد الله النعمان ابن بشير<<إن الحلال بيّن وإن الحرام بيّن وبينهما امور مشتبهات لايعلمهن كثير من الناس فمن التقى الشبهات فقد استبرأ لدينه وعرضه ومن وقع في الشبهات وقع في الحرام كالراعى يرعى حول الحمى يوشك ان يرقع فيه.....الخ>>kwa hiyo kumbe halali ipo wazi na haramu ipo wazi vilevile lakini hatumbui ukweli wake ,kwa maana hiyo allah akaamua kutu bainishia halali na haramu kwa kutuonea huruma tusije ingia zambi makubwa pasi na kujua nini tunacho kifanya lakini sio kutukumbusha tu bali nakutu tahadharisha pia katika hilo,katika mambo ambayo allah ame yaharamisha ni haya:kwanza ameanza kwakutukemea tusimshirikishe na kitu chochote kisha akafatilizia hili kwa kutu amrisha kuwa tendea wema wa zazi wawili,pili tusi waue watoto wetu kwa kuogopea ufukara,tatu tusi yakaribie mambo maovu(mazambi)dhahiri yake na ndani yake,nnetusi ziuwe nafsi ambazo ameharamisha kuziuwa,,tano tusi karibie mali za mayatima kwa nia ya kuwadhulumu,sita tufanye usawa tunapo pima vipimo vyetu au tunapo wapimia watu,saba tunapo ongea au kutoa ushahidi tuwe waadilifu japo kwa ndugu zetu wakaribu,saba tutekeleze ahadi zake allah,na lamwisho tusi zifate njia za shaitwani,
MAANA KWA UJUMLA
Ndugu zangu waislam aya hii imezitilia nguvu zile nguzo za uislamu na baadhi ya fadhila ambazo nguzo zina simamia,na ina pangika kwa nguzo hizo mambo ya walimwengu na hali za mataifa mbalimbali,
- kuto kumfanyia MWENYEZI MUNGU washirika katika ibada,kama vile masanamu,na mfano wake
- kuwa tendea wema wazazi wawili ,kwa ku watii ,na kufanya yatakayo waridhisha kwa kuwatolea garama za matumizi yao yote,pindi watakapo kuwa watu wazima hawajiwezi tena yaani hawa wezi kufanya kazi yeyote ile,
- kuto ku wauwa watoto kwaajili ya kuogopa urofa,kama walivyo kua wakifanya waarabu kabla ya uislam,kwa sababu allah amedhamini utowaji wa rizki ya watoto kama anavyo wapa rizki wazazi wao.
- kujiepusha na mazambi makubwa,kama kuiba,kufanya khiana,na kusengenya,na kufanya umbeya,kwa sababu kueneza mambo maovu katika umma au jamii kunapelekea kubomoka jamii na kuishi.
- kuto kui uwa nafsi ambayo ALLAH ameharamisha kui uwa,pale ambapo haukuwa uo uuwaji ni kwa sababu ya mtu kutoka katika uislamu,au kwa sababu ya kisasi,na kadhalika.
- kuto kula mali za mayatima,na kuzihifadhi mpaka atakapo kua au atakapo fikia umri wa ujana huyo yatima,na kuzizalisha mali hizo katika biashara au kilimo au mfano wake.
- kutekeleza vipimo vya kilo na mizani kwa usawa pindi tunapo wauzia watu au tunapo nunua,na kuwafanyisha watu kazi kwa uadilifu,laiti kama atakosea mtu yeyote katika hilo kwa nia njema basi hakuna makosa juu yake.
- kutoa hukmu kwa uadilifu,na kutekeleza ushahidi kwanjia ya uadilifu,hatakama tutakua tuna watolea ushahidi ndugu zetu wakaribu,kwa sababu katika dhulma na kutolea ushahidi wa uongo kuna kupoteza haki na kuna kuufanyia khiana uaminifu.
Haya ndio mambo ambayo ALLAH ana tuusia ,na ametuamrisha kuyafata,ili tuongozeke katika muongozo wake,na wafikishwe katika kupatia,basi ni wajibu kwetu tuyafanyie kazi mambo hayo na tusi yafate matamanio ya nafsi zetu ikawa sababu ya kutu poteza katika njia ya ALLAH,tuzi hifadhi nafsi zetu kutokana na adhabu siku ya qiyamah
ذالك ما وصّانا الله به وأمرنا بالتّباعه لنهتدي إلى سبيل الرشاد ونوفّق إلى السّداد ,فواجب علينا أن نعمل به وألاّ نتبع الهوى فيضّلنا عن سبيل الله,لنحفظ أنفسنا من عذابه يوم القيامة.
- ألاّ نشرك بالله أحدا في العبادة.
- أن نحسن إلى والدينا.
- أأن نترك المعاصي في السرّ والعلن,كأكل مال اليت وبخس الكيل والميزان
وبالله التوفيق والسلام عليكم ورحمة لالله وبركاته AHMAD ABDUL HAMID MALISSAWA
OR FAHAD AHMAD KHAN/Email:Halfanallyahmad@yahoo.com
Tuesday, March 5, 2013
Subscribe to:
Posts (Atom)
احمد محب الدين الأخبار جديد/احب الله ورسوله
حبّ الرسول صلّى الله عليه وسلّم
قال عليه والصلاة والسلام <<من أحبّ سنّتي فقد أحبّني ومن أحبني كان معي في الجنة>>وقال تعالى<<قل إن كنتم تحبّون الله فاتبعوني يحبب كم الله و يغفر ذنوبكم>>
Popular Posts
-
Hijaab Ya Sheria Inahusu Kufunika Uso Na Miguu? Wanawake SWALI: Naomba nifahamishwe hijabu ipasavyokuwa, je uchi wa wa mwanamke does ...
-
Mwanamume na mwanamke wanapofunga ndoa inawapasa wote watambue desturi, mwendo mwema na adabu katika maisha hayo ya mke na mume ili ndoa ya...
-
cave of as habul kahf/pango la as habul kahfi ndani yake Cave of Ashabe-Kahf (interior) The main view above shows a section of the int...
-
TIZAMA PICHA: Mtoto mdogo Gerezani, Wako wapi watetezi wa haki za Binaadam!? Uadui wa Serikali ya kibaraka ya Kenya dhidi ya waislamu ume...
-
WWW.FAHADAHM.BLOGSPOT.COM kuburi la bilal ibn rabaah(r,a) Hili ndio kaburi la sahaba ambae alikua ni mtu wa karibu mno na mtume (s,a,w)...
-
PADRI AFUMANIWA NA MKE WA MTU! STORY NA PICHA KAMILI HIZI HAPA - BongoClan™
-
KISAA CHA BILAL....MUADHINI WA MWANZO KATIKA UISLAMU. Bilaal Bin Rabaah (Radhiya Allaahu 'Anhu) ‘Umar bin Al-Khattwaab (Radhiya Allaahu...
-
WACHUMBA KUZOEANA TABIA KABLA YA NDOA.. Hii ni ada na desturi ambayo inaishi na kuchukua nafasi katika baadhi ya familia katika jamii zetu....
-
www.fahadahm.blogspot.com This tomb is believed to be that of Shoayb (a.s.). He is regarded as being the father-in-law of Musa (a.s.) and...
-
"Ameen", your Ameen is powerful.!! Oh! Allah grant me a spouse who: will be the garment for my soul. who will satisfy half of my...