Followers

Friday, February 22, 2013

MAALUM KWA WOTE


.




Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuh 
nawaalika wote katika BLOG yangu hii ambayo itafanya kazi ya kukumbushana kuhusu maendeleo ya dini yetu pamoja na maendeleo ya nchi kwa ujumla
,na kuhamasishana kuhusu elimu (kutafuta elimu)khususan kwa vijana wenzangu 
ambao bado tumeghafilika kuhusu maendeleo yetu ya baadae 
wengi wetu tume baki mitaani tuna zurura na habari zisizo kua namaana yeyote wala faida yoyote katika future yetu 
kwa hiyo naomba ushirikiano wenu katika kila jambo 
na tupendane kwaajili ya ALLAH ili tuwe wote tuwe pamoja na wale ambao tunasoma tujitahidi katika masomo yetu tusikate tamaa bali tupambane na mitihani yote tutakayo kutana nayo 
kwani huwezi kupata elimu bila kupambana na matatizo au mitihani tafauti 
kwa hiyo ni lazima tuwe wavumilivu
inshaallah allah atatujaaliya wepesi katika kila jambo kwa uwezo wake,naomba ushirikiano wenu .
WABILLAHI TAUFIQ WASSALAM ALAYKUM WARAHMATULLAHI WABARAKATUH.
My name's AHMAD ABDUL KARIM















3 comments:

  1. BONNE JUMAA A TOUT LES MUSILMENT

    ReplyDelete
  2. As,alaykum.Leo inshaallah nitazungumzia swala nzima kufufuliwa:Jambo la allah Kuwafufuwa viumbe siku ya kiyamah ni jambo lenye tena ni jambo jepesi kabisa kwa hiyo ni lazma kwa kila mtu kuliamini moja kwa moja bila kulitilia shaka,na dalili ya kuwezekana kufufuliwa viumbe;ni kwamba viungo vya maiti ni vyenye kuwezekana kurudi kama vivyo kuwa na kukusanywa na kurudishwa kuwa hai,na hilo ni kwa sababu allah nimwenye kuvitambua zaidi viungo vyote vya mwili wa mtu au kiumbe yeyote yule,na ana uwezo wa kuvirudisha na kuvipa uhai,basi kama viungo allah anaweza kuvirudisha hai basi ndivyo hivyo anaweza kuwafufua viumbe wote siku ya kiyamah,ama aya ambayo inatoa dalili ya kufufuliwa ni aya (8,surat tahabun)<>na katika(surat taha aya 55) <>na katika( srt yasin aya7,6)<>ama hadith ya mtume ni ile ambayo imeelezwa kwamba ubayya ibn khalaf"siku moja alimjia mtume na mifupa iliyo akaishika ikapukutika kisha akamuliza mtume "muhammad ivi unadhani allah anaweza kuirudisha mifupa hii kuwa hai?mtume akamjibu<>tumuombe allah atupushe na adhabu ya kaburini inshallah na atujaalie mwisho mwema.

    ReplyDelete
  3. Assalam alaykuma
    habari za asubuhi,leo tena tukumbushane japo kwa uchache.amesema allah ktk QURAN tukufu akiwa anatukumbasha kuhusu kujiandaa na maisha ya akhera pamoja kuyatanguliza mema<<enyi mlio amini muogopeni allah na ziangalieni(zihisabieni)nafsi nini ambacho zimetanguliza kwaajili maisha ya kesho(akhera),na muogopeni allah ,hakika allah anatambua yote myafanyayo()na wala msiwe kama wale ambao walio msahau allah(kwakutokumuabudu)nae allah akawa sahaulisha nafsi zao,hao ndio watu waovu()hawalingane sawa watu wa peponi na watu wa motoni,watu wapeponi ndo watakao kua wamefaulu,lau ingeli teremshwa QURAN katika milima ungeiona milima yote ina pukutika kwa kumuogopa allah na kunyenye kea kwake()namifano hii tunawapigia wanaadam ili wapate kufikiria..
    TUJITAHIDI KUJIANDAA NA MAISHA YA AKHERA VILEVILE TUJITAHIDI KUIFATA AU KUUFATA MUONGOZO WA MAISHA AMBAO TUME WEKEWA NDANI YA QURAN NA SUNNAT .ALLAH ATUWEZESHE INSHALLAH maana waislam hatuna khofu na Mwenyezi Mungu hata kidogo bali tuna waogopa viumbe wenzetu ,na tunapo patwa na shida hatu rudi kwa allah bali tuna wakimbilia viumbe tena kwa unyenyekevu mkubwa huo nimtihani mkubwa ndugu zangu tujihadi kurudi kwa allah kwa hali yeyote ile sababu yeye ndie mpangaji na yeye ndie mpanguaji ..allahu warasuluhu a3lam.

    ReplyDelete

10 Ways of Protection from Shaytan:

Imam Ibn ul Qayyim

Seeking refuge with Allah from Shaytan. Allah the Most High said, “And if there comes to you from Satan an evil suggestion, then seek refuge in Allah. Indeed, He is the Hearing, the Knowing.” [41:36]

Recitation of the two soorahs al-Falaq and an-Nas, as they have wondrous effect in seeking refuge with Allah from evil, weakening Shaytan and protection from him. This is why the Messenger, sallallahu `alayhi wa sallam, said: “No person seeks refuge with anything like the Mu`awwidhatayn (soorahs al-Falaq and an-Nas)”. [an-Nasaa’i, 5337]

Recitation of Ayat al-Kursi (2:255).

Recitation of soorah al-Baqarah. The Messenger, sallallahu `alayhi wa sallam, said, “The house in which al-Baqarah is recited is not approached by Shaytan.” [Muslim]

The final part of al-Baqarah. The Messenger, sallallahu `alayhi wa sallam, said, “Whoever recites the two last verses of al-Baqarah at night they will suffice him.” [Muslim]

Recitation of the beginning of soorah Mu’min (Ghafir), until His saying, “wa ilayhi-l-maseer” (to Him is the destination). (i.e. “Ha. Meem. The revelation of the Book is from Allah, the Exalted in Might, the Knowing, the forgiver of sin, acceptor of repentance, severe in punishment, owner of abundance. There is no deity except Him; to Him is the destination.” [40:1-2])

Saying “la ilaha ill Allah wahdahu la sharika lah, lahul mulku wa lahul hamdu wa huwa `ala kulli shay’in qadir” (there is nothing worthy of worship except Allah, He has no partner, His is the Dominion and Praise, and He is able to do all things) a hundred times.

The most beneficial form of protection from Shaytan: abundance of remembrance of Allah, the Exalted.

احمد محب الدين الأخبار جديد/احب الله ورسوله

حبّ الرسول صلّى الله عليه وسلّم

قال عليه والصلاة والسلام <<من أحبّ سنّتي فقد أحبّني ومن أحبني كان معي في الجنة>>وقال تعالى<<قل إن كنتم تحبّون الله فاتبعوني يحبب كم الله و يغفر ذنوبكم>>

Popular Posts