Followers

Sunday, October 13, 2013

Marekani yatoa Orodha ya watu 10 wanaotafutwa sana duniani.

Marekani yatoa Orodha ya watu 10 wanaotafutwa sana duniani.

Serikali ya Marekani imetoa orodha ya Picha za watu inayowafauta kwa Udi na Uvumba katika mgongo huu wa Radhi,huko ikidai kuwa ndio watu 10 Hatari ulimwenguni na kuisumbua vichwa vya nchi za Magharibi.

Shirika la upelelezi la Marekani limetoa baadhi ya Orodha hizo za watu 10 wanaotafutwa sana,ingawa baadhi ya Picha hizo haziwezi kuwa zenyewa watu wanaohusishwa,kwani bado hawajawahi kuonekana kwenye vyombo vya habari vya kimataifa.
Katika Orodha hiyo wa Kwanza ni Kiongzoi shupavu wa Tandimul-qaida Dr. Ayman Al Dawahir ambae kichwa chake kama ilivyodai ripoti hiyo ina dhamani ya Dola za Kimarekani milioni 25.

Wengine ni Pamoja na :-
Kiongozi wa Al-qaida katika Rasi au Tawai la Uarabuni Sheikh Nasir Al Huweysh .

-Na Mtu waliyemtaja kuwa Ibrahim Al Asiir ndie mtaalamu wa Kuunda na kutengeneza Mabomu hatari katika Nchi ya Yemen au Mujahidina wa Yemen.

-Kiongozi mkuu wa Harakat Al-Shabab Al Mujahideen Sheikh Mukhtaar Abdurrahman Abu Zubeyr ambae kichwa chake ina dhaman ya dola za Kimarekani Milioni 7 kama ilivyodai ripoti ya wizara ya Ulinzi wa Marekani.

-Kiongozi wa Al-qaida katika Biladul Maghrib Al Islamiah Mukhtaar Bal Haji ambae wamesema Kichwa chake kina dhamani ya Dola za Kimarekani milioni 5.
-Kiongozi wa Jabhat Al Nusra Al Islamiah Sheikh Mohamed Jowlani nchini Syria.

-Kiongozi mkuu wa Dola ya Kislaam ya Iraq na Shaam Sheikh Abu Bakar Al Baghdadi ambae ilisema ripoti ya Washington kuwa kichwa chake kina dhamani ya Dola za Kimarekani Milioni 10.

Kiongozi wa Shirika la Haqani ambae iko chini ya Imaratul Islamiah ya Afghanistaan ambae nae wamesema anadhamni ya Dola za Kimarekani Milioni 5.

-Kiongozi Mkuu wa Wapiaganji wa Nigeria Ahlu Sunna Lida'watu Wal Qitaal Sheikh Abu Bakar Shekow ambae wametangaza dau ya Dola za Kimarekani Milioni 7.

-Kiongozi wa Mujahidna wa Nchi ya Shiishan/Chechnia Sheikh Doko Camarov nae ana dau ya Dola za Kimarekani milioni 5.

FADIHLA YA KUDUMU KATIKA TAUHIDI (KUMPOKESHA MWENYEZI MUNGU)

-   Aina nyingine ya shirki ni kumpenda mtu au kitu zaidi kuliko Mwenyezi Mungu tena katika hali ya kumtukuza au kukitukuza kitu kile na kukidhalilikia.Na pindi mapenzi haya yafanyiwa asiyekuwa Mwenyezi Mungu basi ni shirki.
قال تعالى : {وَمِنَ النَّاسِ مَنْ يَتَّخِذُ مِنْ دُونِ اللَّهِ أَنْدَادًا يُحِبُّونَهُمْ كَحُبِّ اللَّهِ وَالَّذِينَ آَمَنُوا أَشَدُّ حُبًّا لِلَّهِ   } [البقرة : 165].
Amesema Mwenyezi Mungu (Subhaanahu wa Taala): "Na katika watu wanawafanya wasiokuwa Mwenyezi Mungu kuwa wanavyompenda Mwenyezi Mungu  na hakika walioamini wanampenda zaidi Mwenyezi Mungu}} [Al-Baqara : 165].
Jueni ndugu katika imani kwamba ukubwa wa dhambi la shirki kwani Mwenyezi Mungu hamsamehe anayemshiriksha endapo atafariki na dhambi hizo bila kumtaka yeye msamaha kwa kuwa Mola (Subhaanahu wa Taala) haridhii isipokuwa Tawhidi na pia haisamehe shirki. Kwa hivyo,  adhabu ya mshirikina ni kubwa na atapata udhalilifu hapa duniani kabla ya kuadhibiwa kesho akhera.
قال تعالى :  { إِنَّهُ مَنْ يُشْرِكْ بِاللَّهِ فَقَدْ حَرَّمَ اللَّهُ عَلَيْهِ الْجَنَّةَ وَمَأْوَاهُ النَّارُ وَمَا لِلظَّالِمِينَ مِنْ أَنْصَارٍ}     [المائدة:72].
Amesema Mola (Subhaanahu wa Taala): {{Hakika mwenye kumshirikisha Mwenyezi Mungu amemuharamisha pepo na makazi yake ni motoni na hawatapata madhalimu wenye kuwasaidia}} [Al-Maaidah : 72].
Napenda tujiuze maswali yafuatayo;
1-  Ni nani katika sisi hataki usalama duniani na kesho akhera?
2-  Ni nani kati yetu hataki kuingia peponi bila ya hesabu?
3-  Ni nani kati yetu hataki kupata uhai mzuri duniani na kuokoka siku ambayo haitofaa mtu mali yake wala watoto isipokuwa atayenda kwa Mwenyezi Mungu kwa moyo uliyosalimika na madhambi?
Jawabu la maswali tuliyoyauliza kuitekeleza Tawhidi katika maisha yake yote. Kubwa linalotakiwa ni mtu kujifundisha mambo yanayofungamana na Tawhidi vizuri kuyatilia umuhimu mkubwa katika maisha yake kwa kusoma vitabu vya Tawhidi na kusikiliza darasa za wanavyuoni walioshikamana na Tawhidi na sunna, kwani kufanya hivyo ni nuru katika nyoyo. Na vile vile kuvisoma vitabu vya Tawhidi ili kujua Tawhidi ni nini Tawhidi,sababu za shirki,hukmu za shirki na dalili za hukumu za shirki hizo, kuyajuwa hayo ni mwangaza ili mtu asibaki katika giza la shirki, na Tawhidi pia hutengeneza moyo wa mtu na jamii kwa jumla.
Enyi ndugu katika imani! Msihadaike na dunia na kuipuuza Tawhidi iliyokusanya kila kitu na kila mafanikio duniani na kesho akhera na kwa ajili ya Tawhidi wametumlizwa Mitume wote na kuumbwa pepo na moto. Nawausia ndugu zangu Waislamu mulipe suala hili la Tawhidi kipaumbele katika maisha yetu, na muikabili Tawhidi kwa nia njema na nia ya kweli. Na haifai kulipuuza kwa hali yoyote kwani atayelipuuza suala hili yuko katika hatari kubwa duniani na vile vile kesho akhera.

Mwisho
Twamshukuru Mungu tumegusia nukta muhimu kwa kubainisha umuhimu wa Tawhidi na kwamba Tawhidi ni sababu kubwa ya kuokoka mwanadamu siku ya kiama kupata msamaha pia tukabainisha kwamba Tawhidi ni sababu ya kuondoshewa balaa na fitna na mwisho tumebainisha umuhimu wa kujifundisha Tawhidi na shirki kwa aina zake.

Tunamuomba Mwenyezi Mungu Azitengeneze nia zetu katika vitendo vya kila siku na azitengeneze ibada zetu za kwa jumla, pia Aitengeneze Dini yetu na dunia yetu kwani yeye ni muweza wa kila kitu.

TAHADHARI NA KUTELEZA KWA ULIMI

{[ Enyi mlioamini, kama fasiki akikujieni na habari yoyote msimkubalie tu, bali pelelezeni kwanza, msije mkawadhuru watu kwa ujahili na mkawa wenye kujuta juu ya yale mliyoyatenda}}.

  قال الله تعالي: {وَإِنَّ عَلَيْكُمْ لَحَافِظِينَ ﮂ كِرَامًا كَاتِبِينَ ﮅ يَعْلَمُونَ مَا تَفْعَلُونَ ﮉ} [الانفطار:12:10] 
{{Na hakika juu yenu kuna wenye kuwatunza. Watukufu wenye kuandika. Wanayajua yote mnayoyatenda}}.
Na Neno lake Mwenyezi Mungu (Subhaanahu wa Taala):
  وقوله: {إِذْ يَتَلَقَّى الْمُتَلَقِّيَانِ عَنِ الْيَمِينِ وَعَنِ الشِّمَالِ قَعِيدٌ ﭩ مَا يَلْفِظُ مِنْ قَوْلٍ إِلَّا لَدَيْهِ رَقِيبٌ عَتِيدٌ ﭲ} [ق:18:17].
 {{Wanapopokea wapokeaji wawili, anayekaa kuliani na anayekaa kushotoni. Hutoi kauli yoyote isipokuwa karibu naye yuko mngojeaji tayari (kuandika)}}.
Amepokea Abu Huraira kuwa Mtume (Swalla Llahu ‘alayhi wasallam) amesema: [Kuwa Malaika wanapokezana usiku na mchana wakikutana katika swala ya alfajiri na al-asri, kisha wanakwenda wale walio kuwa ni wa usiku. Na mola akiwauliza naye akijua; mumewaacha vipi waja wangu? Wakijibu; tumewaacha wakiswali na tukawajia hali ya kuwa wanaswali].
Wito wa Kuwajibika kwa Maneno Mazuri
Kuwajibika kwa maneno mazuri ni sababu ya kufaulu na kusamehewa madhambi na kupata radhi zake Mola kwa ajili hiyo anasema Mola:
قال الله: {يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آَمَنُوا اتَّقُوا اللَّهَ وَقُولُوا قَوْلًا سَدِيدًا ﮭ يُصْلِحْ لَكُمْ أَعْمَالَكُمْ وَيَغْفِرْ لَكُمْ ذُنُوبَكُمْ وَمَنْ يُطِعِ اللَّهَ وَرَسُولَهُ فَقَدْ فَازَ فَوْزًا عَظِيمًاﯞ} [الأحزاب:71:70].
{{ Enyi mlioamini, Muogopeni Mwenyezi Mungu  na semeni maneno ya haki. atakutengenezeni vizuri vitendo vyenu na atakusemeheni madhambi yenu; Na anayemtii Mwenyezi Mungu  na Mtume wake, bila shaka amefanikiwa mafanikio makubwa}}.

Mwisho
Ndugu Waislamu, Ulimi ni kiungo muhimu katika mwili wa mawnadamu. Na kikiwa kizuri basi mwili wote huwa mzuri. Ni jukumu la kila Mislamu kuulinda ulimi wake kwa kutumia katika kuzungumza mambo ya kheri, kuamrisha mema na kukataza mabaya. Tukifanya hivyo, tutakuwa tumefaidika na neema ya ulimi, na kupata radhi za Allah (Subhaanahu wa Taala). Namuomba Mwenyezi Mungu asituhisabu kwa yale tuliyoyazungumza ikiwa ni ya makosa, na kutupa ujira kwa maneno mazuri tuliyoyazungumza.
 
احمد محب الدين الأخبار جديد/احب الله ورسوله

حبّ الرسول صلّى الله عليه وسلّم

قال عليه والصلاة والسلام <<من أحبّ سنّتي فقد أحبّني ومن أحبني كان معي في الجنة>>وقال تعالى<<قل إن كنتم تحبّون الله فاتبعوني يحبب كم الله و يغفر ذنوبكم>>

Popular Posts